kwa kweli nilisema ikiwa patakuwa na foleni ntakapojiandikishia ntapuza kabisa na wala cwez poteza muda nilienda cku ya mwisho na cku kuta mtu zaidi ya waandikishaji ili take kama 8 minutes zoezi kwisha nkasepa nawashangaa wanaoshinda kutwa nzima vituoni hvi ni akili za ucku au kukosa cha kufanya?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.