Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,438
- 1,026
Baada ya kupata msosi katika restaurant fulani,Bill Gates alimpa mhudumu $5 kama zawadi.Mhudumu akapokea ile pesa kwa mshangao mkubwa,akamwambia Bill gates;'ni jana tu alikuja mwanao hapa,baada ya kumaliza kula alinipa $500,sasa nakushangaa wewe baba yake umenipa $5 tu?!'.Bill gate akamjibu:'mwanangu hakukosea kukupa pesa nyingi kiasi hicho kwa sababu yeye ni mtoto wa mtu tajiri zaidi duniani,lakini mimi(Bill Gates) sijakosea kukupa wewe hiyo $5 kwa sababu mimi ni mtoto wa mkata kuni maskini kabisa'.