Mambo ya Bank flani Arudha

updater

Senior Member
Jan 28, 2013
125
37
Wandugu hapa nilikua bank falani kwenye kochi la wanaosubiri foleni sana mbele yangu kulikua na kochi lingine amekaaa mdada kama mnavyomuona kwenye hiyo picha yani nilitamani nisifike pamema dirishani yani kitu kilikuakimeena hewani na pia kilianza kulia maana si unajua marijali? Ona picha
ImageUploadedByJamiiForums1451475722.575713.jpg
 
Twiga bancorp
ndugu updater, kama mwanamke naona umemdhalilisha mwanamke mwenzangu na ulichofanya sio ustaarabu. hukuwa na sababu ya kuweka picha. nakushauri tu uitoe hhiyo picha ujue bank itakujua tu kupitia video footage na haitafurahia. hamna bank inayotaka wateja wake waone hawana privacy wakiwa ndani ya bank. tayari ni kosa kupiga picha ndani ya bank. ustaarabu ni kitu kidogo sana lakini wenye nacho ni wachache!
 
Hapa kuna mawili.
1-sheria ya mtandao umempiga picha bila idhini yake
2-bank hauruhusiwi kupiga picha ndio maana wanashauri uzimie simu pindi unapoingia.
Ushauri wangu Toa hiyo picha kabisa kabisa
 
JF Mods siku hizi wamelala sana!

Huu upuuzi ulitakiwa uwe umeondolewa kitambo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom