Mambo ya ajabu yanayotokea Kanda ya Ziwa tu

Mambo ya ajabu yanayotokea Kanda ya Ziwa tu

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,728
Reaction score
4,075
Kanda ya ziwa ni moja ya kanda ya ajabu kuwahi kuwepo kwenye nchi hii leo humu jukwaani kuna mdau amelalamikiwa jinsi ambapo TFS kanda ya ziwa inavyowanyanyasa na kutowajali kwa mambo haya kanda ya ziwa ni kawaida sana aisee

Kanda ya ziwa ni kanda ambapo mauaji ya Albino na vikongwe yalishamiri kwa ajili ya ushirikina yaani katika kanda ambayo ushirikina umetamalaki ni kanda ya ziwa hilo la mauaji ya vikongwe na albino sina haja ya kulielezea hapa kila mtu anajua na anafahamu hii kanda ya ajabu sana yaani shinyanga,Simiyu,Mwanza na Geita mauaji ni kwao kawaida sana kulikuwepo na mauaji ya wazee wenye macho mekundu walikuwa wanawauawa bila sababu yoyote ile eti kwasababu yao ya ushirikina hii kanda hapana kwakweli

Kuhusu choo sina haja ya kuelezea hapa everybody know watu wa kanda ziwa wao kwa Choo ni mbingu na ardhi yaani unaweza kukutana mtu ana nyumba mzuri lakini hana choo yaani aisee

Ushirikina na uchawi kwa kanda ya ziwa kuanzia Mara,shinya, Mwanza Geita na simiyu ni kawaida yaani huku wanauabudu yaani watu wa kanda ya ziwa uchawi ni kama maji tu wanayakunywa Ndugu zangu wasukuma wao hawawezi kufanya vitu bila kuhusisha uchawi wao uchawi kwao ni kila kitu hawa watu aisee

Mauaji ndiyo usiseme aisee kanda ya Mara, shinyanga Mwanza Geita na simiyu pamoja na Kagera kwao mtu kumuua ni kawaida je ile kesi ya padri wa katoliki na wenzake kumuua asimwe sijui imefikia wapi naona kimya ziii sijui shida nini kila siku Mara watu wanauana kisa uchawi yaani taflani Sana yaani kanda ziwa ziwa ni taflani Sana

Kuhusu umasikini sisemi sana yaani huku umasikini ni pete na kidole yaani mtu ana ng'ombe wengi ila ni masikini wa kutupwa yaani ni kusosa maarifa jinsi ya kutumia ng'ombe kupata utajiri hapa wasukuma bwana aisee sina neno.
 
Mtu ana ng'ombe nyingi ila ni masikini!!!!. Utajiri ni kuuza shamba na mifugo ununue tv pikipiki na sofa. Kwa mtoa mada tajili kwake ni yule mwenye vitu vya mjini. Yaani mwenye miti hekali 10 ni masikini kuliko mwenye jokofu na godoro la super banco nchi 12 futi 6*6
 
Ee mbingu huko juu usikie kelele, malalamiko na pumba za mtumishi wako huyu, ushushe moto usafishe hayo maeneo tajwa kisha yeye ahamie huko, atafute na wake hata 20 akapige mbupu usiku na mchana atengeneze mataifa mengi kufidia hao wasiojenga vyoo waliokusalimia kuzimu, ameeen.
 
Elewa Acha kukariri, ukanda huu shuguli za uchimbaji wa madini ni nyingi kuliko ukanda mwingine, pamoja na shuguli za uvuvi ndio maana unaona case za albino na viungo vya binadamu ni nyingi.
 
Siwezi oa msukuma naona ataniletea kipindupindu ni wachafu sana.Yani anafyetua matofali kichakani
 
Elewa Acha kukariri, ukanda huu shuguli za uchimbaji wa madini ni nyingi kuliko ukanda mwingine, pamoja na shuguli za uvuvi ndio maana unaona case za albino na viungo vya binadamu ni nyingi.
Sasa izo shughuli zinaingiliana vipi na hayo mauaji?
 
Back
Top Bottom