Mambo ya ajabu niliyoshuhudia msibani

Niliendaga msibani mume ndiyo alifariki, mke akatuomba msamaha anaenda Benki kuchukua pesa.Kabla hawajasafirisha BK huko.
 
Maisha ya kidhungu😂

Hata wazungu hawanaga mambo mengi. Kafa kafa tu, hakuna kitachobadilika.
Ila hao watoto itoshe kusema kuwa SAFARI BADO.
 
Mwisho wa siku si walizikwa. Wengine wana desturi za kimagharibi.
 
Aiseeeeeeeeeeè
 
Mambo ya wachaga wew huyawezi, huko misiban ni nadra sana kukuta wanalia mpk sijui wazimie au nn! Wala wenyew wanaendeleaga na shughul zao na usiku wanaendaga kulala kwao hakuna kulala msiban
 
Umeelezea tukio kama muvi yani by the way dunia inakwenda kasi sana watu sikuizi walia msibani kama fasheni tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…