Labda unisaidie kuuliza mkuuHujaona cha kujifunza? Au umekurupuka tu?
Hivi jf sijui kwanini imejaa wakosoaji yaani mtu anadhani u great thinker ni ukosoaji huyo mleta mada ameandika vitu vinaeleweka kabisa na vingi vya kujifunza maana bado tuna safari ndefu ya kulea sasa sijui alitaka aandike niniBila shaka umetoka uchagani pia.usijisikie vibaya mkuu sio woteKwahyo mkuu ulikua unataka shukrani?
Sijazungumzia suala la kujifunza, nimezungumzia suala la shukraniHujaona cha kujifunza? Au umekurupuka tu?
Mwisho wa siku si walizikwa. Wengine wana desturi za kimagharibi.Ndo ilivo; ukiacha kushirikiana na watu na kujiskia, nao pia wataacha kushirikiana nawe
Mtaani kulikua na wazee wawili.mmoja nadhani ni mchaga,ana hela kila kitu kuko kwake,watoto huwaoni nje ya ukuta hata wakicheza na majirani, wakienda shule wanafungiwa boarding wakirudi ndani..mke wake sasa sio social hata kipaimara haudhurii..misiba hata jirani hatua mbili hawaendi. Siku alivokufa mtaa mzima kila mtu yuko bize na shughuli zake.
Kuna wa pili nae ni mjita mwanajeshi aliwekeza mtaani.siku kafa nawauliza wakubwa si kuna msiba kule mbona hamuendi...wazee wapo tu kama hamna kitu.
Kuna mtu ananiambia yule mzee aliekufa alikua haudhurii msiba,yani hata kuja dakika moja akupe mkono wa pole kisha aondoke hawezi.unaweza kura msiba na yeye anapita hapo pembeni barabarani anaenda kazini.
Hahaha 😂 kabisaVijana tuna changamoto sana nyakati hizi, nilichojifunza sio kila mwanamke ni wakuolewa wengine watabaki hivyo hivyo kama mabundi!
AiseeeeeeeeeeèFamiliya nyingine mziache kama zilivyo.hivi mfiwa anapataje muda wa kufanya hayo yote? Mara kusuka mara nini.
Kuna familiya ya wasomi baba wa hiyo familiya alifariki majuzi tu. huyo baba alikuwa successful sana afu mtu wa watu hata mtoto wa umri wa miaka 5 ilikuwa lazima amjue huyo baba na kila mtu alifika kwenye msiba huo.yaan tulikuwa tukimpenda maana kabla ya kustaafu alikuwa na status yake nzuri.
Kikwetu mwili ukifika lazima uingizwe ndani. Alikuwa na mjumba wa maana wanapoishi mbele yake alikuwa kajenga mjengo mpyaaaa wa maana ndo alikuwa anataka kufanya sherehe kuingia kwenye mjengo huo mpya.
Sasa mwili umefika tulitegemea utalala kesho yake ndo wazike.mke wake marehemu bila aibu alisema wazike siku hiyo hiyo
Wakaingiza mwili ndani ile nyumba wanayoishi na waupitishe kwenye nyumba mpya maana ilikuwa ishaisha ila hawajalala. Mke wa marehemu na usomi huo wote dr mstaafu alikataa mwili wasiuingize ndani. Yaani yeye alitaka mwili ukifika waweke pale mezani kwenye sehemu ya ibada then wakazike.
Kweli mme katafuta hizo mali mwanamke anakataa wasiingize ndani mwili wa mmewe kwa mara ya mwisho? Kweli?
Hicho kitendo watu walilia.wanaume wanajifanyaga hawalii msibani lakini walilia saana. Watoto wa marehemu sasa wako busy na simu. Marehem alikuwa na binti mmoja tu jina lake linafanana kama langu. Yaan mtoto wa kike alikuwa kakauka yuko busy na simu ibada ya mazishi ikiendelea. Niliumia sana nikajikuta machukia huyo binti.
Familiya nyingine hazifai waoaji muwe makini. Maana tunajuwa waoaji hizo familiya tajiri ndo mnapendaga kuoa.
ukimaliza shule uje nikuoe,unaonekana ni wife material na sio slay queen




Na mtoto wao mkubwa alikuwa akituhumiwa freemason na kifo cha baba yao alidondoka akazimia akapitilizaItakuwa walikuwa wanatimiza masharti ya kafara