Waliitoa wapi ?Ardhi yote ni mali ya serikali we huna ardhi, unaelewa maana ya lease? Unapewa kutumia kwa muda maalum ndiyo inaitwa lease, ikiisha muda wake itabidi uombe tena. Kwa kuwa ni mali ya serikali yaliyo chini ya ardhi vyote ni mali ya serikali ikiwemo maji, mafuta, gesi, madini ya aina yote.