ACHA POMBE.. Okoka.. Hutapata muda wa kutazama maupuuzi..
Tatizo wamezoea baa za uswazi hata mpira ukichezwa makelele week
Mara moja moja tuwe tunaenda mahotel makubwa makubwa hata goli likifungwa watu tunapiga makofi matatu tu :becky:
Au siyo Smile ?
dawa sio kuhama bar, hata huko kwingine kuko hivyo hivyo ndio maana zinaitwa bar,hama baa!
Acha ulimbukeni wewe, hata hizo foreign liquors full recycle hadi ya matope, kuja na pipa sio guarentee ya safety, kelele za baa ni hulka tu za watu, wengine wanakunywa huku wanaangalia mpira na mabishano kwa sana, wised upndio TATIZO la kunywa MAGUGUMAJI a.k.a MAJITAKA(BREWERIES BEERS),mimi haka HEINEKEN zangu hata ninywe CATTON nzima npo poa na ASUBUHI naamka bila HANGOVER..v2 vinakuja na PIPA ..hahahaaaaa pole yao LMAO
Inategemea ananywea wapi..? Kuna viwanja hukuti mambo kama hayo, we mmoja huwezi sumbua wote waliomo humo.... ACHENI KUNYWA VICHOCHORONI..Kuepuka kuona na kukutana na aibu hizi kaa nyumbani kwako tu. Maana walevi hawana aibu!