AISEEEWakuu, nawasalimu.
Leo naomba wadada waje hapa watueleze namna wanayopitia katika mahusiano ya mapenzi ya awali hadi kufikia uchumba.
Pia vikwazo wanavyovipata na maumivu wayapatayo kwenye mahusiano.
Kama mjuavyo wakuu mpaka dada afikie hatua ametulia na mtu mmoja anakuwa amepitia mengi.
Mimi sitasahau nilikuwa na beb wangu shost wangu akamchukua mazima.
Ila Mungu mwema kwa kupitia JF Love Connect ikanipatia mume mwema..
Sasa mimi ni mama wawili...
Karibuni
Duuuh riwayaSasa si itakuwa riwaya hiyo,.changamoto zipo na haziwezi kwisha japo kwangu mm ni kama fursa![]()
Next time try your level bestugumu mkubwa nikuzama kwenye moyo mmoja afu uje utambue uliingia jalala hapo utajuta kuanza kwake upya ni mara kumi uwe singo maisha yote.
Pole sana hope umekua strong nowMimi nilisoma chuo na kaka handsome wangu, tukawatunajishughulisha sana kutafuta pesa tangu tupo chuo. Tulikuwa na ka mradi ka kufuga kuku wakisasa japo tulikuwa tunafuga kwa taabu sana ila walikuwa wanatusaidia matumizi, dada yangu ndio alikuwa anasimamia mradi wetu wa kuku. Tukakamaliza masomo mwenzangu akapangiwa kazi Temeke mimi Pwani, jamaa akaishia kusepa na secretary wake, kisa alimpa mimba! Looo! nilipita maiaka kama miwili hivi
Unaachaje kitu kizur namna hiyo? Aaagh!Nimeacha pombe,si nimekwambia au![]()
Kwa kweli, kumbe mpaka humu kuna real love hadi watu kuoana? Hongera zaoAISEEE
ITS TRUE PEOPLE FALL IN LOVE IN MYSTERIOUS WAYS
HONGERA SANA
kuanza mapenzi upya ni kama vile una jipu mwilini hata nguo ikigusa tu unasikia maumivu sembuse ulikalie jipu lenyewe.Next time try your level best
To choose Wisely
Sema neno wifiiAiseee..
nikakusemee kwa kakaKwann amwambie, ili iweje akimwambiaWadada wanakazi sana nakumbuka tukiwa high school kuna mwanetu mmoja alikua anamchukua head girl wameeenda siku ya siku wakazinguana jamaa alichoamua ni kumtoa sadaka kwa machizi aliwe mtungo ilikua wahuni kama nane hivi, kuanzia saa moja watu wameingia prepo hadi ucku mbaya watu wanajigongea tu, demu katoka hajiwezi hata kutembea tukamsaidia hadi bwenini mwenyewe analia akitishia kujiua, ila sasa ni gov officer na pia mke wa mtu nimekutana nae majuzi akiwa na mme wake demu yuko na furaha sijui kama amemwambia mme wake wa sasa kuwa amewahi kupigwa mtungo!