Mambo wanayopitia wadada kabla ya ndoa

Mambo wanayopitia wadada kabla ya ndoa

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,247
Reaction score
25,188
Wakuu, nawasalimu.

Leo naomba wadada waje hapa watueleze namna wanayopitia katika mahusiano ya mapenzi ya awali hadi kufikia uchumba.

Pia vikwazo wanavyovipata na maumivu wayapatayo kwenye mahusiano.

Kama mjuavyo wakuu mpaka dada afikie hatua ametulia na mtu mmoja anakuwa amepitia mengi.

Mimi sitasahau nilikuwa na beb wangu shost wangu akamchukua mazima.

Ila Mungu mwema kwa kupitia JF Love Connect ikanipatia mume mwema..

Sasa mimi ni mama wawili...

Karibuni
 
Mimi nilisoma chuo na kaka handsome wangu, tukawatunajishughulisha sana kutafuta pesa tangu tupo chuo. Tulikuwa na ka mradi ka kufuga kuku wakisasa japo tulikuwa tunafuga kwa taabu sana ila walikuwa wanatusaidia matumizi, dada yangu ndio alikuwa anasimamia mradi wetu wa kuku. Tukakamaliza masomo mwenzangu akapangiwa kazi Temeke mimi Pwani, jamaa akaishia kusepa na secretary wake, kisa alimpa mimba! Looo! nilipita maiaka kama miwili hivi
 
Back
Top Bottom