Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

Kuna kitu kimoja kinanshangaza kwa watoto wa kike anaweza kukuomba pesa akakwambia bby nahitaji 300k unamuuliza kwa uzuri tu unahitaji laki 3 ya kufanyia nini?
Basi ataanza maneno utasikia sitak tena ata hyo pesa yako, unaniuliza ya nini kwan hujui na matumizi yangu nayojua mimi? Sawa sikatai una matumizi binafsi but mshahara wako unaufanyia nini? Unakuta kuanzia msosi ndani, ada za shule kwa watoto na majukumu kibao anafanya mume lakini bdo atahitaji pesa zisizokuwa na matumizi rasmi.
Mbaya zaidi utakuta tunapokea mshahara sawa, haoni mzigo unaokuelemea bt atataka kufanya atakavyo. Tungekuwa tunasaidiana ningekuelewa. We mshahara wako unaishia kununua high heels, bracelace, na saloon. Wakati ukiwa kwenye MP Mpaka pads nakununulia mimi. Nikihoji unahitaj pexa kwa matumiz gani unanuna? At the end of the day mnadai mnataka haki sawa PUMB...AAAAVU
 
Sijaongelea mambo ya HAKI SAWA.., nilichosema ni kuwa wewe kama miss chagga unatakiwa kuwajibika ili kujenga uhusiano bora, na kama mnaishi vizuri mtapanga mambo yenu pamoja. Ukiwa na mawazo hasi kama hayo, familia haijengeki katu.

aaah Eli79 ukiangalia mawazo yako unaweza elewa unatka kuongelea nini ... any way fanyia kazi lile linalokuhusu basi
 

Tell them bro.
 

Na kama huko tayari kuhudumia mbona walala nae kama mkeo?
 
Last edited by a moderator:
huyo ni mpuuuuumbavu uliyeamua kumuweka ndani.... lazima atoe maelezo ya nini hana sababu una haki ya kumnyima......... na hakuna haki sawa duniani hapa never exist
 
 
mmmh! umeongea kwa mahasira
 
hapo anaongea ukweli kama matumizi ni mambovu unahaki hata ya kumpangia bajeti ni si kukata matumizi kabisa

idadi kubwa ya watoto wa kike hawataki kupangiwa bajeti BELIEVE ME! Ukijiloga utakapoanza kumpangia bajet utasikia mbahili! Mara ananipangia pangia nini? Nyumban wazazi wanipangie na yeye anipangie? HATA UFANYE MAZURI VPI LAWAMA NI LAZIMA NDANI YA NYUMBA.
 
mimi nitakuwa na kale katabia ka-ubahili, nafikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…