Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

Wale wale tuu ambao wakipata mwanaume na daraja la matatzo yao wanamwamishiaaaa......
Ndo maaana kaur zao we nuna wenzio wara......
Jinga jinga.. .....

Ha ha jinga kama we unavyoliwa kirahisi
 
Ni kweli wana penda mteremko hao sijui wametoa wapi hyo tabia mwanaume atakula kwa jasho cha kushangaza wao ni walalamishi wakubwa wanakwepa majukumu ndo mana mamariooo wamezidi hadi wanatimuliwa na wake zao

Ni matokeo ya malezi ya single moms.big up mmoms
 

nasikia harufu ya uemolo....

unapenda mwanaume mwenye kujituma..
hasa sehem gani?fafanua kidogo kuna sehem nyingi za kijituma
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…