Bila ShakaUnamaanisha Mungu na Shetani ni sarafu moja yenye pande mbili?
Kwenye puaShetani anaishi wapi?
Mungu ana vitisho sana anasema usipomuabudu utachomwa kwenye moto wa milele shetani hana baya wala vitisho katulia zake tuli.Ila shetani mwana sana aisee 🙌
Wengine wanasema Mungu ameua watu zaidi ya milioni ila shetani hajaua mtu hata mmoja 😂Mungu ana vitisho sana anasema usipomuabudu utachomwa kwenye moto wa milele shetani hana baya wala vitisho katulia zake tuli.