Mambo Usiyoyajua Kuhusu Rais Wa Korea Kaskazini

Mambo Usiyoyajua Kuhusu Rais Wa Korea Kaskazini

Upo Dunia Gani Wewe Hujui Hata Mataifa Yalivyo? Kwa Hiyo Siku Zote Unadhani Kuwa Korea Kaskazini Ni Tajiri? Tajiri Ni Korea Kusini,kama Huwa Hujitesi Kujisomea Magazeti Ya Kimataifa Na Vitabu Wala Sitahangaika Kukupa Source,kwa Mfano Ulijuaje Kuwa Obama Ana Asili Ya Kenya? Uliambiwa Au Ulisoma Sehemu,au Uliona Taarifa Ya Habari Au Ulisikia Story Kijiweni? Ulijuaje Kuwa US Ni Taifa Kubwa? Kijiweni? Na Mengine Mengi Tu,kwa Hiyo Source Ni Mimi Mwenyewe.

Tulia wewe, taifa masikini kwa kulifananisha na taifa gani,? vitu vingine mkisoma muwe na tabia ya kuvipitisha kwenye brain,
 
Rais wa Maisha wa Korea Kaskazini ni Kim Il Sung.

Mtoto wake na mjukuu wake wamekuja kuwa viongozi tu, lakini yeye mwenyewe babu yao ndiye rais mpaka leo, hata kama amefariki.

Hayo ndiyo mambo ya North Korea.

Eternal President of the Republic - Wikipedia, the free encyclopedia

Pure hilarity!

North Koreans must rank high amongst the stupidest people on earth.

Like the issued diktat tha no one else can have the same name as supreme leader Kim Jong Un.

Seriously?

Hahahaaaaa.
 
Mwacheni KIFUTU BWANA ALE BATA....MNASEMA TAIFA MASKINI WENZENU WAMETENGENEZA HATA TRACTOR ILA NYIE HATA SINDANO TU IMEWASHINDA
 
Unatuletea propaganda za marekani adui yako akikuchukia atakuzushia mengi tu..msikurupuke na kuandika tu angalia historia utajua Korea si wakwanza..
 
m nawashangaa wanaobisha kua korea kaskazini ni maskini!! ni maskini ndio
 
Adeline Albright?? ndugu elimu yako haijakusaidia kujua hata jina sahihi la huyo "Adeline"??? rudi tena ukasome uje na stori kamili.
 
Back
Top Bottom