ismail mziwanda
Member
- Jun 3, 2014
- 49
- 11
Kuna kitu umesahau...umbile la
Nyumbu (Wild Beast). Nyumbu ana
maumbile ya wanyama kadhaa.
1. Miguu
ya nyuma na kiuno ni umbile la Fisi;
2. mkia ni umbile la Farasi;
3. michirizi ya
Pundamilia;
4. pembe ni za Nyati;
5.ndevu
ni za Pofu;
6. nywele za mgongoni ni za
pundamilia.
7.Nyumbu kwa jina lingine
anaitwa "Zero Brain". Hii inatokana na
tabia yake ya usahaulifu. Kwa mfano: Nyumbu anaweza kuwa anafukuzwa
na Simba, akikuta majani mazuri
anajisahau kuwa anafukuzwa
anasimama na kuanza kula majani.
Very amazing story
Kuna kitu umesahau...
8. Uwezo wa ubongo wake ni kama raia wa kitanzania
Kuna kitu umesahau...
8. Uwezo wa ubongo wake ni kama raia wa kitanzania
Kuna kitu umesahau...
8. Uwezo wa ubongo wake ni kama raia wa kitanzania
Kuna kitu umesahau...
8. Uwezo wa ubongo wake ni kama raia wa kitanzania
Ktk huko kusahau, anaweza kushuhudia mwenzake kakamatwa na mamba kwny mto halafu na yeye akajirushia hapo hapo!!
Nasikia jicho lake ni kubwa kuliko kiwango cha ubongo wake!