Hivi, inakuwaje unapata mihemko kwenye comment ya mtu ambaye humjui na wala hajui kama kuna user name kama hiyo humu Jf?Uzoefu wako unauhamishia kwa wengine?
Kama ningekuwa nimeonyesha hasira yoyote basi hasira hiyo ingekuwa ni dhidi ya mujinga uliyo nayo kichwani ma si vinginevyo.
Ukatili mkubwa sanaa. Halafu wanaangalia wanafurahiaAchaneni na kubebwa-bebwa kama viroba kwa story zisizo na ukweli.
Watu wanasoma dua huku wamemfunga miguu ngamia na kumuelekezea Kibra halafu zinatengenezwa story kuwa kabla ya kumchinja inasomwa dua halafu mwenyewe anakubali na kugeukia kibra. Nanyi bila hata
ya kufikiri mnameza tu, hata mkiona mnakuwa kama mnachezeshewa ka mchezo ka kekundu keusi.
Huyu kafungwa miguu yote, anabaki anagalagala hadi amechoka ndiyo ninyi mnanasema amekubali kuchinjwa.
View attachment 3167875
Hii upate connection, mmiliki achinje, si rahisi kuipata.Wapi inapatikana sijawah Kula ngamia
Mufti..."Je hawamtazami ngamia. Jinsi alivyoumbwa?" 88:17 Qur anView attachment 3167381
Tutatembelea apo siku mojaa😎😎Kigamboni Kuna shamba kabisa, wanawafuga,, wapo wengi sana. Shamba lipo karibu na kiwanda cha majina safi Afya...
Ukwel ni hasiraa?kajaribu kuwaelewesha watu ukwel kosa lake lipi? Watu wanadanganywa sana na hzo stori mie kwamachoyangu niliona akichinjwa mwanza mkiti maaruufu mabanzi hlo kasheshe lake si lakitoto skuona huko kuinama mwenyewe achinjweMbona kama una hasira?
Pole sana PakiJinja tafuta pesa kaka ili hizi hasira za jukwaani zikupitie mbali.
Eti mnyama mwny zaidi ya nusu tani za uzito..utawezaje kumchinja kiwepesi wepesiHUWA HUWEZI KUMCHINJA HUYU MNYAMNA NA ANANGUVU SANA.
ANAUWAWA KWA KUCHOMA KISU KATIKA MOYO ILI AFE KWA HARAKA BILA YA MATESO
Ngamia hunywa maji safi na ya chumvi. Anaweza hata kunywa maji kutoka Bahari ya Chumvi na hakuna kitakachoipata. Hii ni kwa sababu figo za ngamia huchuja maji: hutenganisha na chumvi na kugeuza kuwa maji safi yanayofaa kwa kunywa.
Ngamia pia hula miiba na haidhuru tumbo lake au utumbo wake kwa sababu mate yake huyeyusha miiba kama asidi.
Ngamia ana kope mbili: moja ni nyembamba na ya uwazi, nyingine nene na yenye nyama. Dhoruba ya mchanga inapoanza katika jangwa, hufunga kope lake la uwazi ili kuzuia mchanga usiingie machoni pake.
Ngamia pia anaweza kubadilisha joto la mwili wake: ikiwa ni baridi joto lake huongezeka, ikiwa ni moto katika jangwa la joto joto la mwili wake hupungua. Sifa alizo nazo mnyama huyu mzuri na wa kipekee ni za kuvutia.
Credit: Jr™ Creators!
Wanaokula ngamia na nguruwe ni MAKAFIRI
Kwahiyo ukaichagua hii picha kwamba imekuvutia kabisa...!!!😀Ngamia hunywa maji safi na ya chumvi. Anaweza hata kunywa maji kutoka Bahari ya Chumvi na hakuna kitakachoipata. Hii ni kwa sababu figo za ngamia huchuja maji: hutenganisha na chumvi na kugeuza kuwa maji safi yanayofaa kwa kunywa.
Ngamia pia hula miiba na haidhuru tumbo lake au utumbo wake kwa sababu mate yake huyeyusha miiba kama asidi.
Ngamia ana kope mbili: moja ni nyembamba na ya uwazi, nyingine nene na yenye nyama. Dhoruba ya mchanga inapoanza katika jangwa, hufunga kope lake la uwazi ili kuzuia mchanga usiingie machoni pake.
Ngamia pia anaweza kubadilisha joto la mwili wake: ikiwa ni baridi joto lake huongezeka, ikiwa ni moto katika jangwa la joto joto la mwili wake hupungua. Sifa alizo nazo mnyama huyu mzuri na wa kipekee ni za kuvutia.
Credit: Jr™ Creators!
NaamVyote haramu kumbe???!!!
Asante kwa elimu,boss ngamia ana uwezo wa kunywa maji kuadi gani kwa Mara moja?Ngamia ni wanyama wa jangwani ambao wanaweza kuvumilia joto kali. Ngamia ni maalum sana katika utamaduni wa Kiarabu. Wanaashiria uvumilivu, uvumilivu, na uvumilivu.
Ngamia ni wanyama wakubwa wa futi 5.9 - futi 7.5 urefu na uzito wa pauni 660 - pauni 2,520. Wana maisha ya miaka 50 -60.
Ngamia wanaweza kuishi bila chakula na maji kwa wiki kadhaa.
HUYO MNYAMA JINSI YA KUMCHINJA IMEELEZWA KATIKA MAANDIKO YA KIDINI SIO WA KAWAIDA KAMA MBUZIEti mnyama mwny zaidi ya nusu tani za uzito..utawezaje kumchinja kiwepesi wepesi
HUYO MNYAMA JINSI YA KUMCHINJA IMEELEZWA KATIKA MAANDIKO YA KIDINI SIO WA KAWAIDA KAMA MBUZI
ANATHAMINIWA SANA
AaminMufti...
Subhanallah!
Nilitaka mimi kusema kuwa Allah kamtaja ngamia kwenye Qur'an.
Allah akujaze kheri.
Kinyesi cha ngamia kinatoka kikiwa kikavu bila maji maji unaweza washia moto kabisaNgamia hunywa maji safi na ya chumvi. Anaweza hata kunywa maji kutoka Bahari ya Chumvi na hakuna kitakachoipata. Hii ni kwa sababu figo za ngamia huchuja maji: hutenganisha na chumvi na kugeuza kuwa maji safi yanayofaa kwa kunywa.
Ngamia pia hula miiba na haidhuru tumbo lake au utumbo wake kwa sababu mate yake huyeyusha miiba kama asidi.
Ngamia ana kope mbili: moja ni nyembamba na ya uwazi, nyingine nene na yenye nyama. Dhoruba ya mchanga inapoanza katika jangwa, hufunga kope lake la uwazi ili kuzuia mchanga usiingie machoni pake.
Ngamia pia anaweza kubadilisha joto la mwili wake: ikiwa ni baridi joto lake huongezeka, ikiwa ni moto katika jangwa la joto joto la mwili wake hupungua. Sifa alizo nazo mnyama huyu mzuri na wa kipekee ni za kuvutia.
Credit: Jr™ Creators!
Kulaza shingo yake kwa hiari hadi umfanyie kisomo.Ndio mnyama pekee analaza shingo yake kwa hiari umchinje
Those some Muslims who think camel are not halal they are not real Muslims.There are some Muslims who think camels are not halal. Some also say horses are not halal. But, apparently, you can clean up after eating camel.