Mambo unayopaswa kuyafahamu katika maisha ya wamaasai

Jogoo mbegu

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
824
3,406
Mambo ya kipekee ambayo katika maisha ya umasaini ni nadra sana kuyasikia au kuyaona, ili hali sehemu nyingine ni mambo ya kawaida kutoke katika jamii

Hutasikia wake wanagombania mume, ndio kwanza mke mkubwa humwambia mumewe aoe mke mwingine wasaidiane katika majukumu. Wake hawaoneani wivu, hawapigani wala kununiana

1700040764761.jpeg
Neno yatima ni halipo, huwezi kuoneshwa mtoto/watoto yatima. Wazazi wakifariki watoto huendelea kwa ndugu husika, neno yatima ni nadra sana kulisikia

Wanawake kutoa mimba ni nadra sana kusikia, unaweza mtia mimba na usimuoe wala kulea, utakuwa umempa mtoto kama zawadi tu. Kama ilivyo hakuna neno yatima pia mtoto wa kambo ni hakuna

Wanawake kuvaa nusu uchi ni hakuna japo wana hijifunga mashuka yao unaweza hisi muda wowote atamwaga radhi upepo ukija uone paja au upapa, hapo utakesha sana zaidi utaambulia kuona upara kichwani tu.😂😂

Huwezi sikia mtu kajinyonga au kunywa sumu iwe kisa mapenzi, ugonjwa sugu au ugumu wa maisha

Huwezi sikia mambo ya ushoga.

Huwezi sikia kesi kwamba mwanamke kabakwa

Vilevile kuna mambo ambayo umasaini ni kawaida Sana Ila kwa jamii nyingine ni mshangao

Kutotumia vyoo na ni kawaida kukuta boma la zaidi ya watu hamsini bila choo hata cha kuegesha, wao hupendelea kwenda vichakani na makorongoni. Hata kama choo kipo ni hakitumiki.🤔🤔

Wanawake hawana haki za msingi wala hawana maamuzi yeyote mbele ya mwanaume, wakiitwa hata vikaoni wao ni wasikilizaji tu.

Swala la elimu wazazi huzaa watoto wengi, huchagua wa kwenda shule, machungani au wakuolewa mapema iwezekanavyo

Wanaume kuoa vibinti vidogo ambavyo wakati mwengine hata havijapevuka.

Wanaume kutofanya kazi za mikono kama kujenga, kufua, au kulima. Mwanaume yupo tayari aende na mkewe kibarua cha kulima, mke alime yeye amsimamie nyuma akimpigia story 😂😂

Supai bhookee😃
 
Mambo ya kipekee ambayo katika maisha ya umasaini ni nadra sana kuyasikia au kuyaona,ili hali sehemu nyingine ni mambo ya kawaida kutoke katika jamii

Huta sikia wake wanagombania mume, ndo kwanza mke mkubwa humwambia mumewe aoe mke mwingine wasaidiane katika majukumu. Wake hawaoneani wivu, hawapigani wala kununiana

Neno yatima ni halipo, huwezi kuoneshwa mtoto/watoto yatima. Wazazi wakifariki watoto huendelea kwa ndugu husika, neno yatima ni nadra sana kulisikia

Wanawake kutoa mimba ni nadra sana kusikia, unaweza mtia mimba na usimuoe wala kulea, utakuwa umempa mtoto kama zawadi tu. Kama ilivyo hakuna neno yatima pia mtoto wa kambo ni hakuna

Wanawake kuvaa nusu uchi ni hakuna japo wana hijifunga mashuka yao unaweza hisi muda wowote atamwaga radhi upepo ukija uone paja au upapa,hapo utakesha sana zaidi utaambulia kuona upara kichwani tu.

Huwezi sikia mtu kajinyonga au kunywa sumu iwe kisa mapenzi, ugonjwa sugu au ugumu wa maisha

Huwezi sikia mambo ya ushoga.

Huwezi sikia kesi kwamba mwanamke kabakwa

Vilevile kuna mambo ambayo umasaini ni kawaida Sana Ila kwa jamii nyingine ni mshangao

Kutotumia vyoo na ni kawaida kukuta boma la zaidi ya watu hamsini bila choo hata cha kuegesha, wao hupendelea kwenda vichakani na makorongoni. Hata kama choo kipo ni hakitumiki.

Wanawake hawana haki za msingi wala hawana maamuzi yeyote mbele ya mwanaume, wakiitwa hata vikaoni wao ni wasikilizaji tu.

Swala la elimu wazazi huzaa watoto wengi, huchagua wa kwenda shule, machungani au wakuolewa mapema iwezekanavyo

Wanaume kuoa vibinti vidogo ambavyo wakati mwengine hata havijapevuka.

Wanaume kutofanya kazi za mikono kama kujenga, kufua, au kulima. Mwanaume yupo tayari aende na mkewe kibarua cha kulima, mke alime yeye amsimamie nyuma akimpigia story

Supai bhookee
hapa maelezo mengine siyo kweli
 
Aliekula mmasai aje anipe mrejesho nipo Ruvu hapa kikazi na nitakaa miezi sita nakuna du wakimasai ananileteaga maziwa kila siku asubui na tumeshabadilishana namba ila kila nikifikilia yale mate yanayotemwa kila baada ya dk5 na hiki kiarufu cha mafuta ya beberu anayojipaka kinanivuluga kabisa nakuniacha hoi
 
Kuna rika ukifika wewe ni bosi, ni mwendo vikao tu na kula nyama..
Ila ukiwa laiyoni hakuna rangi utaacha ona ni mwendo wa fimbo tu wakichinja wewe utaambulia makanyagio na ngozi.

Kuna wakati nilipita naberera terat vitoto vidogo kama miaka 12 ila vyote wameolewa na wako na mimba vinaenda kusaka maji na punda
 
Mimi ni mbantu ila wamasai ni watu humble sana hawana makuu, makabila kama wabantu, wabantu ni watu wa hovyo japo wanajifanya wameshika dini za wageni. Mmasai hamnyimi chakula malazi hata deal mmasai mwenzake sio mbantu.

Shida ya masai ni kuvamia ardhi ya wabantu na kulisha mazao yao ila ni watu halisi wenye taswira ya muafrika. Hawana uarabu wala uzungu.

Masai hata akioa mzungu basi mzu gu nfie afuate mila yake sio yeye afuate mila ya mzungu wakati wabantu hubadili mila zao na kufuata za wageni.

Sisi wabantu tujifunze kutoka kwa ndugu zrtu masai kujali utu wa mwafrika.

MASAI:
Ndio kabila maarufu zaidi barani Africa.
Masai wanakubarika na kupendwa sehemu yoyote tanzania na Africa

Nasikia masai hawahitaji visa kuvuka mpaka wanatembea kwa miguu tu mpaka Afrika kusini.
Wazungu wanapenda kuoa au kuolewa na masai kuliko kabila lolote Tanzania.
Masai ndio wanaume handsome zaidi TZ kuliko kabila lolote.

Masai ndio kijana anaeweza kumkimbiza Simba TZ ila wabantu tunapiga mayowe uwii! Uwiii isimba nafwaa, twafile! twafile! au nduriro mfano Morogoro simba husumbua sana na kuua wabantu.

Niishie hapo ila nimejifunza mengi kwa masai yanaweza kujaa kitabu.
 
Back
Top Bottom