Mambo tata matatu, Uteuzi wa Jaji Kiongozi Siyani

Incredulously, at one time I considered you to be a reasonable and level headed contributor to these forums. What happened to you?
I mean, you have proved yourself to be not any different from the likes of Jingas, Magonjwas, Etweges, etc!
Just because i'm not supporting your side ?

When will you guys learn to embrace opposing opinions ??
 
Athari kubwa zaidi ya Jaji kuteuliwa kuwa JK ni kwamba kesi hii itaenda taratibu sana.

Atakuwa na majukumu ya kiutawala ambayo ni mengi sana hivyo kesi haitasikilizwa mfululizo tena.

Hii kesi kama Jaji kiongozi ataendelea nayo itaisha 2023.
Mmh aiseee. Ila kuna muda ambao kesi inapaswa kuwa imeisha WANASHERIA watusaidie kuelewa.
 
Yaan unamtetea zombe????ama kweli kila mmoja anatetea nafsi yako
Kaka mkanganyiko upo hatukatai lakini katika macho ya sheria hawatoe hukumu bila kujiridhisha bila shaka.

Yapo ya kisiasa hatukatai bali yapo ya kweli yanayofanywa na watu wenye majina ambayo huenda wanajifika kwenye kivuli hicho.

Swala la msingi ni kuiacha mahakama ifikie maamuzi
 
Ndugu hao jamaa waliouwawa ni wajomba zangu kabsa,vifo vyao vilisababisha mpaka kifo cha baba yao ambaye babu yetu,ucombe yakukute hawa wanaoitwa polisi nchi hii unaweza ukawchukia maisha yako yote
Kaka mkanganyiko upo hatukatai lakini katika macho ya sheria hawatoe hukumu bila kujiridhisha bila shaka.

Yapo ya kisiasa hatukatai bali yapo ya kweli yanayofanywa na watu wenye majina ambayo huenda wanajifika kwenye kivuli hicho.

Swala la msingi ni kuiacha mahakama ifikie maamuzi
 
Just because i'm not supporting your side ?

When will you guys learn to embrace opposing opinions ??
Not at all.
Lately you seem to have lost objectivity on almost all issues you respond to.

I can vividly recall when we had reasonable exchanges in here sometime ago, and that was the basis of my initial respect. But what has transpired ever since has been hard to explain.

I can distinctly recall how different you were from a fellow by the name similar to yours 'Mkaruka Atajanu', and I must have pointed that out in our exchanges. Now it has become difficult to tell whether 'Mkaruka' has not morphed into that other fellow who had weird reasoning to every issue he responded to.
 
Back
Top Bottom