Mambo si mambo

mpaka kifo kitutenganishe
maharusi wamesahau
 
ahahahahhhh, nimechekaje
Chezea kifo wewe, kila mtu anakimbia kivyake
 
mwallu hapo hakuna cha mpaka kifo kitutenganishe kila mmoja anasave maisha yake kwanzaakifika sehem ya usalama ndo anamtafuta mwenzake yuko wapi
 
Last edited by a moderator:
Hamjawaelewa, wanakikimbia kifo kisipate nafasi ya kuwatenganisha.
 
ahahahahahahah
kumbe yale yalikua maneno tu

We huoni wanavyotekeleza kwa vitendo
Kifo kitutenganishe na nyumba ndogo ipo hapo hapo kanisani inashuhudia
Wakija kusalimia pale ukumbini hug za nguvu na kushikana mikono
pale wanasema hii ni geresha tuu ukimaliza honeymoon njoo tuendelee
 
yaan taabu kweli kweli
ndoa za siku hizi,duh..maigizo mengi

mwallu ni full maigizo
Ila ukimpata wako ambaye kweli kifo kitawatenganisha ni jambo la kumshukuru Mungu mtaishi mkiilea familia yenu kwa amani na furaha na nyumba yenu itakuwa imebarikiwa
 
Last edited by a moderator:
mpaka umpate sasa
ila kwa Mungu yote yanawezekana
mwallu ni full maigizo
Ila ukimpata wako ambaye kweli kifo kitawatenganisha ni jambo la kumshukuru Mungu mtaishi mkiilea familia yenu kwa amani na furaha na nyumba yenu itakuwa imebarikiwa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…