Mambo saba ya kufahamu kuhusu jua

Shida ya nyie mnaobishana na Science(kweli) hamleti majibu yenu nyie ni kupinga tu.
Kizuri zaidi kuwa dunia inazungushwa pande na kona zote. Nguvu ya msukumo ni moja na ina push sehemu zote kwa wakati mmoja
Kipi kinafanya uite sayansi kweli
 
WAZUNGU WAMEWAFUNDISHA USHAMBA NA UONGO WASHAMBA WENZAO. MATANGO PORI YA LONGITUDE TIME.
 
Inawezekana sana mimi nna akili za kimchambawima 😺,lakini umesoma mada yangu kwa utulivu na kuifahamu, mimi nimeanza na kueleza jinsi ya kitu chenye shepu ya chungwa au mpira kikizunguka speed yake ni lazima iwe tafauti.
Na pia kuhusu alaska unajaribu kueleza nini sijakuelewa, mimi naifahamu Alaska, na duniani kote ukienda west unaweza kurudia hapo hapo,lakini tatizo ni ukienda North au ukienda south huwezi kurudi hapo hapo,yaani mzunguko wa east na west unawezekana lakini mzunguko wa North na south hauwezekani na haijawahi kutokea ndege au mtu yeyote kufanya mzunguko wa North kwenda south kisha akarudia pale pale.kiuhalisia kitu chenye shepu ya chungwa ingewezekana kuzunguka vyovyote, North to south,east to west, nw to s/east,n/east to s/west mizunguka yote ingewezekana lakini haijawahi kutokea.ungefanya utafiti kidogo.
Mamilioni ya watu wanazunguka east to west bound kila mwaka, lakini north to south ni watu wasiozidi watano tangu historia ianze,na hao watano ni propaganda tu sio kweli,mzunguko wa north south hauwezekani kabisa.
 
ok kipi kinachofanya mzunguko wa South to west uwe mgumu Arif?
 
Kwa kuwa jua ni nyota basi itoshe kusema nyota zote ni jua. Nyota zote zinatoa mwanga wake wenyewe na dunia ndio nyota kubwa zaidi dunia kwa kuitazama(only duniani), ukubwa huo umetokana na ukaribu wake katika dunia
Summary yako nzuri na ndio maana jua ambayo ni nyota kubwa inapotoweka upande mmoja wa dunia na kutokea giza huwa tunaona nyota nyingi zinazotoa mwanga ila mwanga wake unakuwa hafifu kufika katika uso wa dunia kutokana na kuwa mbali sana (tunaishia kuona mng'ao tu)
 
Pia huyo mdau ajiulize kwanini ukiwa baharini au ziwani unakuwa unaona horizon kwamba yaani chombo kikiwa kwa mbali kinaonekana kama kinashuka na kupotea (kama ingekuwa sio kama chungwa si tungekuwa tunaona moja kwa moja mpaka upeo wa macho utakapoishia)
 
ok kipi kinachofanya mzunguko wa South to west uwe mgumu Arif?
Mimi nimekushauri ufanye utafiti hata nikikwambia kwa sababu gani huo mzunguko hauwezekani kutoamini, kwa vile una preconceived assumptions watu wa mchambawima hawana elimu kwa hio haiwezekani kujua kitu.
jiulize ni kwanini hakuna anaefanya mzunguko wa north south, kitu changine cha kuangalia ni usafiri wa anga na ndege kutoka Argentina kwenda Australia, hizi nchi mbili zote zipo karibu na south pole ambapo ni ncha ya chini ya dunia na zikiwa zote zipo nchani mwa dunia maana yake zenyewe zingekuwa zipo karibu sana,cha ajabu ni kuwa hakuna usafiri wa ndege unaokwenda moja kwa moja kutoka Argentina kwenda Australia, ndege zote kutoka Argentina zinakwenda marekani kisha kutoka marekani kwenda Australia, huu ni mzunguko wa kutoka south kwenda north kisha unarudi tena south, na hakuna hata ndege moja inayokwenda moja kwa moja kwa sababu kiuhalisia haya Masafa ni makubwa sana na hizo nchi mbili hazipo karibu hata kidogo kiuhalisia na dunia haipo kama shepu ya chungwa kiuhalisia. yapo mambo mengi sana ya kuyatafiti
 
Mkuu muelezee maeneo ambayo serikali haziruhusu kusogea maana ni extension ya nje ya raman ya dunia .yaan sawa na useme zanzibar ni duara ila serikali hairuhusu yeyote kusafir nje ya km 10 za bahari
 
Jua litakuwepo bado kwa miaka mingine yapata 5bn.

Jua letu ni moja kati ya matrilioni ya nyota katika ulimwengu

Jua letu ni moja kati ya nyota ndogo ulimwenguni.
 
Umemaliza kila kitu haya mambo ya space ni uongo mtupu wala jua halipo juo umbali km 150mil
 
Asanteeee
 
Mungu aliumba na uvumi wa kisayansi

Naweka nukta napiga funda la maji naendelea kusoma.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…