Mambo Ninayoyatamani Maishani Mwangu

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
  1. Natamani Madaladala Yote ya Mbagala Yasiwe na Siti (kasoro dereva tu)
  2. Natamani Kusiwe na Kifo Tena Duniani
  3. Natamni Kusiwe na Kula iwe ni KUVAA TU
  4. Natamani Tusiwe Tunaoga
  5. Natamani Nyerere Afufuke
  6. ......................wewe unatamani nini?
 
6.Natamani nirudi miaka 22 enzi hizo nakesha night club na totoz kibao, pesa mingi mfukoni balaa.
7.Tatamani Dr Mengi anikabidhi K-Lily.
8.Natamani niishi bila kuzeeka.
9.Natamani niwe na mihela mingi ya kuhonga, yaani mwanamke akinisifia sifia tu namwagia mihela.
 
teh teh teh

akifuta aisee tunaandamana kupinga.

Achana na hiyo kitu aiseee, bora hata afute uwezo wa kusikia, tuwe tunaishi kama viziwi ila aachie hiyo
hahahahahahahahahahahhahahahahahahaha:D:D:D asigwa jamani umenichekesha kweli
 
teh teh teh

akifuta aisee tunaandamana kupinga.

Achana na hiyo kitu aiseee, bora hata afute uwezo wa kusikia, tuwe tunaishi kama viziwi ila aachie hiyo
waulize watu waliokumbwa na msingo wa mawazo japo walikua nay but was function less
 
6.Natamani nirudi miaka 22 enzi hizo nakesha night club na totoz kibao, pesa mingi mfukoni balaa.
7.Tatamani Dr Mengi anikabidhi K-Lily.
8.Natamani niishi bila kuzeeka.
9.Natamani niwe na mihela mingi ya kuhonga, yaani mwanamke akinisifia sifia tu namwagia mihela.

NO 6 Imenichekesha, sasa kama totoz zitakuwepo si hizo hela zitaisha tena?
 
NO 6 Imenichekesha, sasa kama totoz zitakuwepo si hizo hela zitaisha tena?
teh teh teh

Mkuu hela si inatafutwa bana.

Kuna wakati pesa inaweza kukutembelea mpaka ukasjiuliza why me??

Kumbe ni kaupepo tu kanavuma kuelekea upande wako, ngoja kageuke, utajuta kuzaliwa.
 
  1. Natamani Madaladala Yote ya Mbagala Yasiwe na Siti (kasoro dereva tu)
  2. Natamani Kusiwe na Kifo Tena Duniani
  3. Natamni Kusiwe na Kula iwe ni KUVAA TU
  4. Natamani Tusiwe Tunaoga
  5. Natamani Nyerere Afufuke
  6. ......................wewe unatamani nini?

Natamani Mungu afute uwezo wako wa kutamani ili usiendelee kutamani upuhuzi wako hapo juu.
 
Back
Top Bottom