Mambo niliyojifunza katika ndoa

Mambo niliyojifunza katika ndoa

Ndoa inajengwa kwenye msingi wa ukweli, uwazi na kuaminiana.

Ni jambo jema mke/mume kujua kazi yako, unapofanyia kazi na hata kipato chako, lakini kuna mambo ukiyaweka wazi tatizo litatokea.
Mfano wapenzi hupenda kuuliza maswali kama vile: uliwahi kudate wanawake wangapi? Kama idadi ni kubwa na ukataja atataka ajue ni akina nani? Ikitokea amewajua hilo linakuwa tatizo. Utaulizwa kwa nini ulimwacha yule ukanioa mimi? Mbona ni mrembo kuliko mimi?

Kwa hiyo ikiwa hajui historia yako ya kimapenzi: Tafadhali usimweleze. Ukilazimika kumweleza hakikisha huyo mtu hamjui na anaishi mkoa au nchi ya mbali.
daaah ni hayo tu au ndo uvivu wa kuandika
 
Ni kweli uliyoeleza ila jambo la kwanza katika ndoa ili ilete mafanikio ni kujituma hasa katika utafutaji
Haswa sisi wanaume tunajituma mpaka nguvu za kiume zinatuishia KMMK
 
Back
Top Bottom