Mambo ni motoo clouds

Mambo ni motoo clouds

Bilionea kid

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2018
Posts
581
Reaction score
520
Jamani niko hapa nasikiliza clouds duuh! Mambo ni motoo 🔥🔥🔥🔥

Hao wasafi watasubiri

Fiesta dar/East Africa is back

Kama na wewe unasikiliza/ulisikiliza achia comment yako like muhimu

Hii ni kwa mashabiki wa clouds...

Karibuni!
 
Jamani niko hapa nasikiliza clouds duuh! Mambo ni motoo 🔥🔥🔥🔥

Hao wasafi watasubiri

Fiesta dar/East Africa is back

Kama na wewe unasikiliza/ulisikiliza achia comment yako like muhimu

Hii ni kwa mashabiki wa clouds...

Karibuni!
Asubuhi mpaka jioni uko kwenye kochi halafu usiku unalalamika maisha magumu!
 
Kwanza kabisa JK hajasema fiesta itafanyika east africa kasema wataandaa biggest talent search east africa (Hii kitu itafeli kenya na uganda).
.
Kingine kazungumzia kuendelea kudominate soko la televisheni tanzania kwa miaka 20 ijayo (Hii kitu ni ndoto clouds sio BBC news).
.
Clouds imepoteza mvuto kabisa kwa sasa ubunifu wao ni analog kwa sasa, wasafi ata take over upande wa burudani 100% ndani ya miaka mitatu ijayo.(wasafi ni burudani tu hakuna taarifa ya habari wala vipindi vya watoto).
.
Mwisho. Clouds wakiandaa show siku moja na wasafi nairobi, dsm, kampala ama kigali wasafi wanabeba watu wote.(Rwanda hawamjui whozu maua sama hawajui nyimbo zake hawana msanii mwenye ushawishi nje ya TZ kwa sasa zaidi ya kiba)
 
Nimewasikiliza, hawa watu wana vision an mipango. In reality wana inspire wengi jamaa wametoka mbali sana na wanafanya kazi kipee sana.
Tutabaki kupiga kelele huku lakini huyu Kusaga na team yake wamejipanga sana na sasa anadai kufikia Feb inabidi waanze rusha vipindi UAE baada ya kupata kibari ambacho wanaiger na SA walinyimwa
 
Back
Top Bottom