Kisoda2 JF-Expert Member Joined May 30, 2008 Posts 2,475 Reaction score 748 Sep 30, 2013 #1 Mzee mmoja wa Kihaya alivamiwa nyumbani kwake Bukoba usiku wa manane, badala ya kupiga 911 wamsaidie yeye akapiga simu Marekani eti anauliza: Halloo Mutalemwa! Ni nani anavunja geti languu hapo njee!!:shocked::shocked:
Mzee mmoja wa Kihaya alivamiwa nyumbani kwake Bukoba usiku wa manane, badala ya kupiga 911 wamsaidie yeye akapiga simu Marekani eti anauliza: Halloo Mutalemwa! Ni nani anavunja geti languu hapo njee!!:shocked::shocked: