Mambo matatu ya kurekebisha ndani ya CHADEMA

Unaweza kuthibitisha kwamba mbowe alingofoa kipengele cha ukomo wa madaraka? Na isiwe habari za kusikia? na unajua hii katiba ya chadema ilipitiwa lin upya ?


Ebo?sasa maswali gani haya unauliza wakati katiba iko wazi?
 
Ngoma zinazopigwa na ccm naona wana chadema wenzangu mnazicheza baadala ya kudelete
 
Nakuheshimu sana lakini hoja zako zote dhaifu!!! Siasa ni perception nakubaliana na wewe Lakini kupima upepo na kujua kina cha maji ni muhimu sana kwa ustawi wa taasisi yoyote ile!!! Imagine Putin angekuwa anaimba nyimbo za maliberali wa Ulaya, leo hii Russia si ungekuta imetawaliwa? Kuelekea kushika Dola CHADEMA inahitaji Viongozi wa aina ya Mbowe wasiokuwa na Price Tag Mgongoni ... viongozi ambao wako tayari kutumia rasilimali zake kutimiza malengo ya CHADEMA... Ukomo unaamuliwa na wanachama kwa maslahi ya wanachama si mfumo!!! Hao wenye kupiga Propaganda ndo hao wamejaza watoto wao, wajukuu zao, wake zao na hata babu na bibi zao !! Fuatilia Takwimu ujionee mwenyewe ... ACT kwa sasa wamejaza mamluki wa CCM waliokuwa wanatumika kuidhoofisha CDM..ila baada ya muda vijana wa Mwandiga watajaa humo!!! ... Mambo muhimu ya kurekebisha CHADEMA ni maandalizi ya Uchaguzi Mkuu!!! Mkazo uwe kuwaandikisha wapiga kura Zaidi, kusimamia kura na kuwapata wagombea safi wenye sifa ya kuibadilisha Tanzania ndani ya miaka 5 tu ...

 

CC: jingalao
 
hapa ulikuwa na akili zako timamu haswa
 
hapa ulikuwa na akili zako timamu haswa
Pendekezo no.4 ni kama limefanyiwa kazi hivo habari ya Sosopi kukatwa hainipi shida sana maana mngekuja hapa na propaganda za ukanda kama angechaguliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…