ESPIRIT
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 665
- 522
Hivi ni baadhi ya vitu vinavyomkera MWANAUME anapokuwa na mahusiano na MWANAMKE.
1.Kulialia njaa kila wa kati. Hapa ni pale mwanamke anapotafuta kila namna ili kumu exploit,mwanaume.
2. Kutowasiliana na mwanaume kama hajakutumia vocha.
3. Kuwa mchafu. Wanawake kadhaa hutoa harufu kali, hasa kichwani.,kwa wale wa nywele za bandia.Hii humfanya mwanaume kutokuwa na hisia
4. Kuwa mrahisi mno kutoa chini, yaani papuchi au sex. Mwanamke unapokuwa mrahisi mno ,mwanaume huwa na hisia kwamba unagawa kwa wengi. Na mwanaume anapowaza hivyo,hatakuwa na mda na wew,bali atatafuta namna ya kumtafuta mwingine. UNAWEZA KUONGEZEA MENGINE UNAYOJUA MWANA JF