Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,326
- 40,641
Ulifikiri kama jela zetu?Kumbe kuzuri tu....
Ulifikiri kama jela zetu?Kumbe kuzuri tu....
Mpotoshe mwenzako halafu aishie kupelekwa guantanamoNjoo nikupeleke Marekani ukamtwange Trump risas, kwa kuwa wewe ni Mtz na umeuwa prezida wa USA ni lazima wakakusweke huko, tofauti na ukimuua huyu manyonyo wa nchini kwetu watayamaliza hapahapa, tena mafwele lazima akufanyie kitu mbaya kwa kumhalibia ugali wake kabla hujaenda kunyea beseni milele.
Ndio, huku pazuri kabisa....na urojo utakuwepoUlifikiri kama jela zetu?
Ndivyo jela inavyotakiwa kuwa. Mfungwa akose uhuru wa kwenda anapotaka tu lakini huduma zingine zote apate.Ndio, huku pazuri kabisa....na urojo utakuwepo
Hapana huyo siyo raia wa marekani hawezi kwenda huko ni lazima aende kulekule akale ubwabwa na maharage.Mpotoshe mwenzako halafu aishie kupelekwa guantanamo
Hiyo ni tafsiri kwa mataifa yaliyoendelea ila huku kwetu jela ni mbaya, jela ni mateso.uhuru wa kwenda atakapo ndo hakuna na ndiyo maana halisi ya jela
Jela ni jela tu. Hakuna uhuru wa kujichagulia chochote halali utakacho kilicho ndani ya uwezo wako.Kumbe kuzuri tu....