Mambo mabaya kuwahi kunipata katika mahusiano

Mambo mabaya kuwahi kunipata katika mahusiano

Hata kama unarudi na demu huwezi peleka kwa room yako

Aisee wengi tu wanapeleka mademu hawawajui nyumbani kwao! kimjini mjini hayo mambo mbona hayashangazi!!!!!!!!!!!!
 
Pole mkuu yule jamaa angejua kama ni wewe ulikua nae kwa siku zote hizo ungeonja joto la jiwe mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom