Mambo kumi yanayoimaliza CHADEMA

Chadema ni mali ya Wanachama wote. Na Chama hujengwa na Wanachama wenyewe. Kama wewe ni mmoja wao umeisaidije Chama chako badala ya kusubiri wengine wakijenge halafu uanze kurusha madongo???

Hujamuelewa Mkuu.
 
Msumari huo


 
Hivi kwani mtoa post kwani katamka maneno mabaya!
Mbona kama kuna watu wamewaka hatariiiiiii.
 
Usijihangaishe na hlo lichama linaloongozwa na mwenyekiti aliye na tuhuma za ugaidi mahakamani.
 
Nyinyi vijana wa CCM kwa sababu mnapendelewa na Vyombo vya serikali basi ni kujiropesha tuu. Vijana wa CHADEMA wanapitia mitihani mingi sana na bado wapo imara.
Baadae wakija watu wengine kutoka chama kingine mnawaona wanini siyo!
 
Maana yake niwajinga simple2
 
Wewe ni sawa na kuku wa kisasa hawezi kutembea juani chadema unayoijua wewe ni hii ya watoto watoto sisi tunaijua chadema ya Babu zako Rudi darasani ukajifunze maana ya siasa
Wew kweli hamnazo, chukua buku 7 yako sepa
 
Check na Daktari, kuna shida sehemu
 
Una akili nyingi, lakini hukujui kuzitumia.

Aliyetamka hadharani kuiua chadema yuko wapi, japo makatazo yake haramu bado yamekumbatiwa na majuha yenye uchu wa madaraka.

Kiufupi Chadema ndo habari y'a mjini kwa siasa za maziwa makuu.

Hawafanyi mikutano y'a hadhara,lakini ofisi zooooote za Ccm nchi nzima, wanaijadili usiku na mchana.

Sasa mada yako ina mashiko kweli, au !. Elimu yenu itumieni kwa manufaa kwa nchi, na sio mambo yasiyo yamsingi.

Wanakobatizana majina ya WAHUNI NA VIROBOTO ni wanachama wa Chadema ??.

Ccm wanaihujumu sana nchi yetu.Vyombo vingi vya maamuzi vimejaa watumishi wenye kadi za Ccm. Na hii ni mbaya sana.

Kwahiyo na wewe endelea kuimba na kuabudu huko kwenye magenge y'a kihuni na viroboto,upande wa Chadema hapakufiti, usijifanye unaijua saaaana.

Kamwambie na bibi yako kuwa, chadema ipo na itaendelea kuwepo.

Mwaka wa ngapi hawana mikutano ya hadhara na makamela,tofauti na Ccm,ila wewe bado unaenda na mdundo wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…