Mambo kumi yanayoimaliza CHADEMA

Mambo kumi yanayoimaliza CHADEMA

Chadema ni mali ya Wanachama wote. Na Chama hujengwa na Wanachama wenyewe. Kama wewe ni mmoja wao umeisaidije Chama chako badala ya kusubiri wengine wakijenge halafu uanze kurusha madongo???

Hujamuelewa Mkuu.
 
Kama wewe siyo mwanachama wa chama chochote, mambo ya vyama yanakuhusu nini? Hii ni tabia ya unafiki kwa sababu suala la Chadema ni la wanachama wao na namna wanavyofanya shughuli zao.
Wewe kinachokukera na kukusumbua kama Chadema haipati mafanikio kama unavyotaka ni nini?
Jitahidi kufanya mambo yanayokuhusu katika maisha yako.
Msumari huo


IMG_20211214_203904.jpg
 
Hivi kwani mtoa post kwani katamka maneno mabaya!
Mbona kama kuna watu wamewaka hatariiiiiii.
 
CHADEMA ninayoijua Mimi sio hii iliyopo Sasa,naweza kusema bila ya Shaka yoyote kuwa chadema ya Sasa ni waoga Sana,Chadema ingekuwa inajipanga kimkakati Leo ccm ingekuwa haipo madarakani,,nakupa Mambo kumi yanayoiua chadema Kila mwaka,.

(1) Hawaandai vijana watakaokuwa nguzo ya chama baadae hata wakiwaandaa ukifika uchaguzi wanawatupa na kuwaokota mamluki wa CCM

(2) Hawaandai Sera ya chama madhubuti Ila Kila mtu ni msemaji, kumtukana Kila mtu anaejaribu kutoa maoni tofauti na chama Chao, bila kujua mpiga kura huwa anabadilika kulingana na Sera za wakati uliopo, siasa Haina adui wa kudumu Wala rafiki wa kudumu

(3) Ni ile tabia ya akija mgeni kutoka chama tawala wako tayari kuharibu systeam yote na hata kukosana na wazawa kwa ajili ya mabwanyenye wa CCM wenye uroho wa madaraka wakikosa huku wanataka waje huku.

(4) Wameshindwa kuwahandle wafadhili wa chama na kusimamia Mali za Chama kiasi Cha kukosa hata ofisi nzuri yenye hadhi ya chama

(5) Magari ya chama baada ya uchaguzi yanabaki niyamatumizi ya kawaida badala ya kwenda mikoani kujenga chama,igeni mfano wa chama kigeni nchini uganda nup chini ya Bobi Wine hakina hata miaka mitano kinaofisi ya kisasa Sana.

Kwa leo niishie hapa nb mimi sio mwanachama wa chama chochote hapa nchini
Usijihangaishe na hlo lichama linaloongozwa na mwenyekiti aliye na tuhuma za ugaidi mahakamani.
 
Nyinyi vijana wa CCM kwa sababu mnapendelewa na Vyombo vya serikali basi ni kujiropesha tuu. Vijana wa CHADEMA wanapitia mitihani mingi sana na bado wapo imara.
Baadae wakija watu wengine kutoka chama kingine mnawaona wanini siyo!
 
Chadema pia ndio chama chenye watu wenye akili kuliko watanzania wote ambao hawako humo..
Chadema ndio chama chenye watu wanaojua kila kituna watanzania wote lazima wawasikilize wao.
Chadema ndio chama ambacho dola lazima ikisikilize kinataka nini maana wao ndio wamiliki wa nchi na dola yenyewe..
Chadema ndio chama kinachopendwa na watanzania wote zaidi ya 60mil..
Chadema ndio chama chenye wanachama weengi hapa Tanzania..
Bila chadema hii nchi isingepata uhuru.
Bila chadema hii nchi haiwezi kuendelea..
Wanachama wa chadema ndio wenye akili kuliko mtu yeyote hapa Tannzania..
Ukiwa Rais lazima uwasikilize chadema maana wao ndio wenye akili na mamlaka ya hii nchi..
Chadema wao ni malaika, wacha Mungu na siku zote wanaonewa kwasababu wanaogopwa...
Maana yake niwajinga simple2
 
Wewe ni sawa na kuku wa kisasa hawezi kutembea juani chadema unayoijua wewe ni hii ya watoto watoto sisi tunaijua chadema ya Babu zako Rudi darasani ukajifunze maana ya siasa
Wew kweli hamnazo, chukua buku 7 yako sepa
 
Chadema pia ndio chama chenye watu wenye akili kuliko watanzania wote ambao hawako humo..
Chadema ndio chama chenye watu wanaojua kila kituna watanzania wote lazima wawasikilize wao.
Chadema ndio chama ambacho dola lazima ikisikilize kinataka nini maana wao ndio wamiliki wa nchi na dola yenyewe..
Chadema ndio chama kinachopendwa na watanzania wote zaidi ya 60mil..
Chadema ndio chama chenye wanachama weengi hapa Tanzania..
Bila chadema hii nchi isingepata uhuru.
Bila chadema hii nchi haiwezi kuendelea..
Wanachama wa chadema ndio wenye akili kuliko mtu yeyote hapa Tannzania..
Ukiwa Rais lazima uwasikilize chadema maana wao ndio wenye akili na mamlaka ya hii nchi..
Chadema wao ni malaika, wacha Mungu na siku zote wanaonewa kwasababu wanaogopwa...
Check na Daktari, kuna shida sehemu
 
Una akili nyingi, lakini hukujui kuzitumia.

Aliyetamka hadharani kuiua chadema yuko wapi, japo makatazo yake haramu bado yamekumbatiwa na majuha yenye uchu wa madaraka.

Kiufupi Chadema ndo habari y'a mjini kwa siasa za maziwa makuu.

Hawafanyi mikutano y'a hadhara,lakini ofisi zooooote za Ccm nchi nzima, wanaijadili usiku na mchana.

Sasa mada yako ina mashiko kweli, au !. Elimu yenu itumieni kwa manufaa kwa nchi, na sio mambo yasiyo yamsingi.

Wanakobatizana majina ya WAHUNI NA VIROBOTO ni wanachama wa Chadema ??.

Ccm wanaihujumu sana nchi yetu.Vyombo vingi vya maamuzi vimejaa watumishi wenye kadi za Ccm. Na hii ni mbaya sana.

Kwahiyo na wewe endelea kuimba na kuabudu huko kwenye magenge y'a kihuni na viroboto,upande wa Chadema hapakufiti, usijifanye unaijua saaaana.

Kamwambie na bibi yako kuwa, chadema ipo na itaendelea kuwepo.

Mwaka wa ngapi hawana mikutano ya hadhara na makamela,tofauti na Ccm,ila wewe bado unaenda na mdundo wao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom