Mambo kumi yanayoimaliza CHADEMA

Kama wewe siyo mwanachama wa chama chochote, mambo ya vyama yanakuhusu nini? Hii ni tabia ya unafiki kwa sababu suala la Chadema ni la wanachama wao na namna wanavyofanya shughuli zao.
Wewe kinachokukera na kukusumbua kama Chadema haipati mafanikio kama unavyotaka ni nini?
Jitahidi kufanya mambo yanayokuhusu katika maisha yako.
 
Ccm Wana Ofisi Ya Kisasa Lakini Kwenye Chaguzi Wanaishia Kuiba Kula
Ofisi za kisasa za Chadema zipo mioyoni mwa watu na ndio maana popote walipo watu na Chadema wapo, na hilo limewatisha Sana Chama Cha Maviroboto wakifikiri Mbowe afungwe na Lissu auawe huenda watapata nafuu.
Lakini mnajisumbua bureeee yaani ndio Kwanzaa Imani inaongezeka kwa Chadema na kuliko awali. Chadema kwa Sasa kwa watu wenye Akili timamu ndio dira ya nchi na tegemeo la nchi.
 
Sidhani kama ustawi wa chama ni ofisi ya kisasa...
Chama ni imani. Na imani ni zao la kujitambua!
Tatizo nchini Tanzania (hasa Tanganyika) ni kuwa ujinga umekithiri sana... watu wapo radhi waipe ccm kura zote alafu baadae wakalalamike kwa MUNGU.
[emoji23][emoji23][emoji23] Dah nacheka km mazuri, ila tuna shida sana Watanganyika
 

Ni Vyema Tuwakumbushe Kuwa Chadema Sio Chama; Chadema Ni Harakati Za Kuondoa Utawala Dhalimu Wa Ccm
 
Itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
Wewe ni sawa na kuku wa kisasa hawezi kutembea juani chadema unayoijua wewe ni hii ya watoto watoto sisi tunaijua chadema ya Babu zako Rudi darasani ukajifunze maana ya siasa
 

Huwezi kuacha kuwajengea nyumba watoto pesa zote unakunywa mbege watu wakikusema unadai watoto mm wananipenda sijui wameniweka moyoni Hilo halipo
 
Bwashee, hili bandiko lako lispoondolewa basi jiandae kupigwa ban. Hili ni jukwaa la wanachadema, (mkurugenzi ni kada wa chadema kindakindaki), hawataki kusikia chochote kinyume na mawazo yao
Stay tuned!
 
Chadema pia ndio chama chenye watu wenye akili kuliko watanzania wote ambao hawako humo..
Chadema ndio chama chenye watu wanaojua kila kituna watanzania wote lazima wawasikilize wao.
Chadema ndio chama ambacho dola lazima ikisikilize kinataka nini maana wao ndio wamiliki wa nchi na dola yenyewe..
Chadema ndio chama kinachopendwa na watanzania wote zaidi ya 60mil..
Chadema ndio chama chenye wanachama weengi hapa Tanzania..
Bila chadema hii nchi isingepata uhuru.
Bila chadema hii nchi haiwezi kuendelea..
Wanachama wa chadema ndio wenye akili kuliko mtu yeyote hapa Tannzania..
Ukiwa Rais lazima uwasikilize chadema maana wao ndio wenye akili na mamlaka ya hii nchi..
Chadema wao ni malaika, wacha Mungu na siku zote wanaonewa kwasababu wanaogopwa...
 
Ili kuwapima Chadema Kama wamekwisha, sanduku la kura liachwe liongee lenyewe, Wakurugenzi wasikimbie fomu zao Wala TISS na Polisi wasiingilie.
 
Huwezi kuacha kuwajengea nyumba watoto pesa zote unakunywa mbege watu wakikusema unadai watoto mm wananipenda sijui wameniweka moyoni Hilo halipo
Kwani wew uliyejenga hizo ofisi zinakusaidia nini zaidi ya kuwatumia akina Kingai na Mahita kuteka kuua na kupoteza watu? Au hizo ofisi zilikusaidia usiengue wapinzani ktk uchaguzi wa Serikali za mitaa na wa Serikali kuu mwaka 2020? Au hizo ofisi zimekusaidieni kuendelea na mchakato wa KATIBA mpya ya jaji Warioba? Mtajua hamjui bandugu. Ofisi sio majengo ninyi vibwetele viroboto, ofisi ni watu.
 
Kunguni mwenzake na polepole
 
Umenena vyema ila nyumbu gang hawatakuelewa
Nyinyi vijana wa CCM kwa sababu mnapendelewa na Vyombo vya serikali basi ni kujiropesha tuu. Vijana wa CHADEMA wanapitia mitihani mingi sana na bado wapo imara.
 
CCM wako wapi?!!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…