Vijana wa CHADEMA ni kama makarai hutumika na kutupwa kazi ikikamilika. Alisema hivyo aliyekuwa Kiongozi waoNakuunga mkono,wametelekeza vijana wengi magerezani..
Wakikusikia unawasema hivi wana ku ban. Hawataki kusikia mawazo tofauti na ya Lissu na MboweChadema ninayoijua Mimi sio hii iliyopo Sasa,naweza kusema bila ya Shaka yoyote kuwa chadema ya Sasa ni waoga Sana,chadema ingekuwa inajipanga kimkakati Leo ccm ingekuwa haipo madarakani,,nakupa Mambo kumi yanayoiua chadema Kila mwaka,. (1)hawaandai vijana watakaokuwa nguzo ya chama baadae hata wakiwaandaa ukifika uchaguzi wanawatupa na kuwaokota mamluki wa ccm ,,(2)hawaandai Sera ya chama madhubuti Ila Kila mtu ni msemaji ,kumtukana Kila mtu anaejaribu kutoa maoni tofauti na chama Chao,bila kujua mpiga kura huwa anabadilika kulingana na Sera za wakati uliopo ,siasa Haina adui wa kudumu Wala rafiki wa kudumu,(3) ni ile tabia ya akija mgeni kutoka chama tawala wako tayari kuharibu systeam yote na hata kukosana na wazawa kwa ajili ya mabwanyenye wa ccm wenye uroho wa madaraka wakikosa huku wanataka waje huku,(4)wameshindwa kuwahandle wafadhili wa chama na kusimamia Mali za Chama kiasi Cha kukosa hata ofisi nzuri yenye hadhi ya chama,(5)magari ya chama baada ya uchaguzi yanabaki niyamatumizi ya kawaida badala ya kwenda mikoani kujenga chama,igeni mfano wa chama kigeni nchini uganda nup chini ya Bob wine hakina hata miaka mitano kinaofisi ya kisasa Sana ,kwa Leo niishie hapa nb mm sio mwanachama wa chama chochote hapa nchini
Haya sio madongo kwa mtu mwenye akili anajua haya ni maoni na maoni sio lazima usifiwe kwenye uharibifu tutaongeaChadema ni mali ya Wanachama wote. Na Chama hujengwa na Wanachama wenyewe. Kama wewe ni mmoja wao umeisaidije Chama chako badala ya kusubiri wengine wakijenge halafu uanze kurusha madongo???
Chadema ninayoijua Mimi sio hii iliyopo Sasa,naweza kusema bila ya Shaka yoyote kuwa chadema ya Sasa ni waoga Sana,chadema ingekuwa inajipanga kimkakati Leo ccm ingekuwa haipo madarakani,,nakupa Mambo kumi yanayoiua chadema Kila mwaka,. (1)hawaandai vijana watakaokuwa nguzo ya chama baadae hata wakiwaandaa ukifika uchaguzi wanawatupa na kuwaokota mamluki wa ccm ,,(2)hawaandai Sera ya chama madhubuti Ila Kila mtu ni msemaji ,kumtukana Kila mtu anaejaribu kutoa maoni tofauti na chama Chao,bila kujua mpiga kura huwa anabadilika kulingana na Sera za wakati uliopo ,siasa Haina adui wa kudumu Wala rafiki wa kudumu,(3) ni ile tabia ya akija mgeni kutoka chama tawala wako tayari kuharibu systeam yote na hata kukosana na wazawa kwa ajili ya mabwanyenye wa ccm wenye uroho wa madaraka wakikosa huku wanataka waje huku,(4)wameshindwa kuwahandle wafadhili wa chama na kusimamia Mali za Chama kiasi Cha kukosa hata ofisi nzuri yenye hadhi ya chama,(5)magari ya chama baada ya uchaguzi yanabaki niyamatumizi ya kawaida badala ya kwenda mikoani kujenga chama,igeni mfano wa chama kigeni nchini uganda nup chini ya Bob wine hakina hata miaka mitano kinaofisi ya kisasa Sana ,kwa Leo niishie hapa nb mm sio mwanachama wa chama chochote hapa nchini
Vijana wa CHADEMA ni kama makarai hutumika na kutupwa kazi ikikamilika. Alisema hivyo aliyekuwa Kiongozi wao
Yes kuna makarai... lakini kwingineko vijana ni kama tampons ama condoms. Naomba niishie hapa!Vijana wa CHADEMA ni kama makarai hutumika na kutupwa kazi ikikamilika. Alisema hivyo aliyekuwa Kiongozi wao
Sawa vaa chupi yako uende!Chadema ninayoijua Mimi sio hii iliyopo Sasa,naweza kusema bila ya Shaka yoyote kuwa chadema ya Sasa ni waoga Sana,chadema ingekuwa inajipanga kimkakati Leo ccm ingekuwa haipo madarakani,,nakupa Mambo kumi yanayoiua chadema Kila mwaka,. (1)hawaandai vijana watakaokuwa nguzo ya chama baadae hata wakiwaandaa ukifika uchaguzi wanawatupa na kuwaokota mamluki wa ccm ,,(2)hawaandai Sera ya chama madhubuti Ila Kila mtu ni msemaji ,kumtukana Kila mtu anaejaribu kutoa maoni tofauti na chama Chao,bila kujua mpiga kura huwa anabadilika kulingana na Sera za wakati uliopo ,siasa Haina adui wa kudumu Wala rafiki wa kudumu,(3) ni ile tabia ya akija mgeni kutoka chama tawala wako tayari kuharibu systeam yote na hata kukosana na wazawa kwa ajili ya mabwanyenye wa ccm wenye uroho wa madaraka wakikosa huku wanataka waje huku,(4)wameshindwa kuwahandle wafadhili wa chama na kusimamia Mali za Chama kiasi Cha kukosa hata ofisi nzuri yenye hadhi ya chama,(5)magari ya chama baada ya uchaguzi yanabaki niyamatumizi ya kawaida badala ya kwenda mikoani kujenga chama,igeni mfano wa chama kigeni nchini uganda nup chini ya Bob wine hakina hata miaka mitano kinaofisi ya kisasa Sana ,kwa Leo niishie hapa nb mm sio mwanachama wa chama chochote hapa nchini
Muunge na kalio.Nakuunga mkono,wametelekeza vijana wengi magerezani..
Nawaona Wahuni mnahemea buku 7Vijana wa CHADEMA ni kama makarai hutumika na kutupwa kazi ikikamilika. Alisema hivyo aliyekuwa Kiongozi wao
Sidhani kama ustawi wa chama ni ofisi ya kisasa...Chadema ninayoijua Mimi sio hii iliyopo Sasa,naweza kusema bila ya Shaka yoyote kuwa chadema ya Sasa ni waoga Sana,chadema ingekuwa inajipanga kimkakati Leo ccm ingekuwa haipo madarakani,,nakupa Mambo kumi yanayoiua chadema Kila mwaka,. (1)hawaandai vijana watakaokuwa nguzo ya chama baadae hata wakiwaandaa ukifika uchaguzi wanawatupa na kuwaokota mamluki wa ccm ,,(2)hawaandai Sera ya chama madhubuti Ila Kila mtu ni msemaji ,kumtukana Kila mtu anaejaribu kutoa maoni tofauti na chama Chao,bila kujua mpiga kura huwa anabadilika kulingana na Sera za wakati uliopo ,siasa Haina adui wa kudumu Wala rafiki wa kudumu,(3) ni ile tabia ya akija mgeni kutoka chama tawala wako tayari kuharibu systeam yote na hata kukosana na wazawa kwa ajili ya mabwanyenye wa ccm wenye uroho wa madaraka wakikosa huku wanataka waje huku,(4)wameshindwa kuwahandle wafadhili wa chama na kusimamia Mali za Chama kiasi Cha kukosa hata ofisi nzuri yenye hadhi ya chama,(5)magari ya chama baada ya uchaguzi yanabaki niyamatumizi ya kawaida badala ya kwenda mikoani kujenga chama,igeni mfano wa chama kigeni nchini uganda nup chini ya Bob wine hakina hata miaka mitano kinaofisi ya kisasa Sana ,kwa Leo niishie hapa nb mm sio mwanachama wa chama chochote hapa nchini
Kamuulize sirroKwani Chadema Bado wapo
Heading inasema mambo kumi ila naona matano tu weka na matano ya mwisho tuchangie kwa upanaChadema ninayoijua Mimi sio hii iliyopo Sasa,naweza kusema bila ya Shaka yoyote kuwa chadema ya Sasa ni waoga Sana,chadema ingekuwa inajipanga kimkakati Leo ccm ingekuwa haipo madarakani,,nakupa Mambo kumi yanayoiua chadema Kila mwaka,. (1)hawaandai vijana watakaokuwa nguzo ya chama baadae hata wakiwaandaa ukifika uchaguzi wanawatupa na kuwaokota mamluki wa ccm ,,(2)hawaandai Sera ya chama madhubuti Ila Kila mtu ni msemaji ,kumtukana Kila mtu anaejaribu kutoa maoni tofauti na chama Chao,bila kujua mpiga kura huwa anabadilika kulingana na Sera za wakati uliopo ,siasa Haina adui wa kudumu Wala rafiki wa kudumu,(3) ni ile tabia ya akija mgeni kutoka chama tawala wako tayari kuharibu systeam yote na hata kukosana na wazawa kwa ajili ya mabwanyenye wa ccm wenye uroho wa madaraka wakikosa huku wanataka waje huku,(4)wameshindwa kuwahandle wafadhili wa chama na kusimamia Mali za Chama kiasi Cha kukosa hata ofisi nzuri yenye hadhi ya chama,(5)magari ya chama baada ya uchaguzi yanabaki niyamatumizi ya kawaida badala ya kwenda mikoani kujenga chama,igeni mfano wa chama kigeni nchini uganda nup chini ya Bob wine hakina hata miaka mitano kinaofisi ya kisasa Sana ,kwa Leo niishie hapa nb mm sio mwanachama wa chama chochote hapa nchini