ram
Platinum Member
- Oct 5, 2007
- 9,385
- 8,645
Boda haendi mbali, utadhani anakupeleka bure😂😂😂😂😂Hivi wenyeji wa Dodoma wana shida gani?
Aiseee ni wavivu, niliwapa kazi ya ujenzi kwa kuangalia ukaribu wa eneo husika. Walichonifanya mbona ilinibidi nimtafute fundi wangu akaendelee na kazi kutoka dar..!!
Wagogo punguzeni uvivu. Hadi waendesha bodaboda nao wavivu. Nilikuwa na shida ya kuwahishwa nikapande SGR kutoka Mlimwa C boda anasema haendi mbali dah! 😹😹😹
Huo mji ngoja wakinga tuuvamie tuwaonyeshe wagogo maisha yanavyotakiwa kuwa.