hahahahahhaTunaomba na ya dada yetu amini idd
Jibu zuri !nakupa alam 5 zote ..[emoji122][emoji122][emoji122]unafikiri wanadeal vp na sisi km hawajui historia yetu?
Achaaaa.....ina maana Jiwe hajamfikia??Ndiye katili wa karne iliyopita. Wa sasa waigizaji tu