Mambo haya yanatosha kupitia upya muundo wa Muungano

Orketeemi

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
4,314
10,017
Wakati zinaungana Tanganyika na Zanzibar zilikuwa na hadhi sawa. Na baada ya kuungana ndiyo ikazaliwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Je, ni kwanini Shughuli zote za serikali ya JMT zinafanyikia Tanzania bara.

Je, ni kwanini tangu wakati huo wizara zote za JMT makao yake makuu ni Tanzania bara?

Je, ni kwa nini vyombo vyote vya ulinzi na usalama yaani JWTZ, JKT na Polisi makao makuu ni Tanzania bara .?

Je, ni kwanini Tanganyika imejimilikisha jina la Tanzania? Kwamba hata wizara zisizo za muungano zinafanya kazi chini ya serikali JMT?
 
Haya ni maswali mepesi sana
Sawa na kuuliza kwanini makao makuu ya Africa mashariki yapo Tanzania

Muungano wetu ni adhimu tutaulinda hata dahari
 
Simple: Kwasababu tunawatawala na Rais tunakwenda kuwachagulia Dodoma.
 
Back
Top Bottom