Mambo haya uswahilini yanakera

Umeona Nguruvi3 namna uswazi hizi khanga zilivyo na majaribu? Hasa sisi mabachela tunapata shida sana nyakati za asubuhi kwenye hizi nyumba za kupanga...
 
Pole ya nini Katavi huyu jamaa ajitahidi kuonyesha kuwa ni rijari aje aone kama tabia hajaikomesha, Uswazi kuna mambo nyie acheni tu.
Sometimes kuonyesha urijali unaweza kupata matatizo...
 
Umeona Nguruvi3 namna uswazi hizi khanga zilivyo na majaribu? Hasa sisi mabachela tunapata shida sana nyakati za asubuhi kwenye hizi nyumba za kupanga...
Katavi, mbona simuoni kungwi au wanawali? hili la khanga wamekaa kimyaa, wanakuacha uugulie maumiuvi. mhh
Hizo khanga hazina maandishi yoyote!!
 
Kuna tabia nyingine inafanana na hiyo ila sijui kama nyinyi inawakera: tabia ya kutembea na rollers kichwani. Yaani mtu asubuhi anavaa hiyo kanga moja alafu kichwani anarollers. anaenda nazo nje, dukani, anapokea wageni etc. hadi afternoon ndio anazitoa na kuchana nywele. Mi tabia hii inanikera kweli ila sina chakufanya.
 
Katavi, mbona simuoni kungwi au wanawali? hili la khanga wamekaa kimyaa, wanakuacha uugulie maumiuvi. mhhHizo khanga hazina maandishi yoyote!!
Ahahahahaah!! Kuna khanga moja anayopendelea kuvaa huyu jirani yangu imeandikwa "utajiju".....anashinda nayo kutwa nzima.
 
zamu za kufanya usafi chooni!!
Hata usafi wa nje, kwa sisi mabachela eti wanatusamehe kwa kututoza pesa kila mwezi au kununua vitendea kazi vya usafi pale vinapoisha!
 
Teheteheeeh!!
 
fide kwa hyo unazijua ch.p. zake zote, mpelekee zawad ya ch.p. ya blue akikuliza mwambie kila siku unatoka na nyekundu, nyeupe au nyeus so nimeona nikuletee ya blue na njano 🙂
Haaah haaah haaah Mkuu hapa umenivunja mbavu duu haaaah haaah
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…