Mambo gani yanaweza kubatilisha WOSIA?

ndugu, kuna kitabu kimoja kizuri sana kimefafanua hayo mambo yooote kwa kiswahili, ukikipata kitabu hiki hauna haja ya mwanasheria kabisa. bofya hapa www.sheriakwakiswahili.blogspot.com halafu nipe update.
 
Utabaki halali sababu wosia hata siku moja hauwezi kubadilishwa...u can not challenge nor change a will.So kama umeandika asipewe ni hapewi kitu hata kimoja.

Sasa hiyo sentensi ya Kiingereza ilikuwa na ulazima gani hapo?
 
Mkuu nikuulize shwali kwenye maelezo yako hapo juu

Je kama wosia umewekwa sahihi lakini hauna mashahidi zaidi ya wawili, pili warithi wakaridhia kuwa kuwa ule ni urithi halali wa marehemu na wakaamua kuuheshimu.

Ila baada ya miaka kama 3 kupita mmoja wa wale warithi akafungua kesi mahakani kupinga ule urithi si halali.

Basi ikiwa huyo mmoja kati hao warithi hakubaliani na huo urithi hivyo anaweza kuufanya kuwa batili?
 
Hivi baada ya kuandika wosia inatakiwa niuhifadhi wapi? Mahakamani au nyumbani? Na wagawaji watajuaje kuwa kuwa niliandika wosia na upo sehem flani, na je wakijua wosia upo sehem flani na mtoto mmojo sio miongoni mwa warithi haweZi anzisha zogo?
 
Hapo ndo maana wanasema wosia ni vizuri uwe siri maana mnufaikaji akijua anweza anzusha zogo endapo akiona hajatendewa haki au akamuua hata mzazi wake aliyeandika wosia endapo ataona ameandikiwa kurithi mali nzuri na mzee anavuta tuu muda hataki kufa.
 
Hivi baada ya kuandika wosia inatakiwa niuhifadhi wapi? Mahakamani au nyumbani? Na wagawaji watajuaje kuwa kuwa niliandika wosia na upo sehem flani, na je wakijua wosia upo sehem flani na mtoto mmojo sio miongoni mwa warithi haweZi anzisha zogo?
mkuu swali zuri sana hili. ngoja,wataalamu wa mirathi waje watujibu...!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…