Mambo gani ya kuzingatia unapohitaji kununua Kizima moto (Fire extinguisher) kwa ajili ya nyumba ya kulala wageni

DENAMWE

JF-Expert Member
Dec 29, 2019
806
805
Naomba kufahamu mambo ya kuzingatia unapohitaji kununua kizima moto (Fire extinguisher) kwa ajili ya nyumba ya kulala wageni (Guest house).

Mfano:
Kimoja kinatosha kwa nyumba yenye vyumba vingapi? Kinatakiwa kuwa na uzito au ujazo gani? Nk.
 
Back
Top Bottom