Kifaa cha kuzima moto (Fire extinguisher) kwa ajili ya nyumba ya kulala wageni (Guest House)

DENAMWE

JF-Expert Member
Dec 29, 2019
800
800
Naomba kufahamu mambo ya kuzingatia unapohitaji kununua kizima moto (Fire extinguisher) kwa ajili ya nyumba ya kulala wageni (Guest house).
Mfano:
Kimoja kinatosha kwa nyumba yenye vyumba vingapi?
Kinatakiwa kuwa na uzito au ujazo gani? Nk.
 
Fire ext ya kufanyia nini nyumba za wageni???....bora ungeuliza uweke kondomu box ngapi kwa kila chumba...
 
Mkuu hata ukinunua kumi ni kwa faida yako hivi ukiambiwa weka mapipa ya maji kwa ajili ya dharura ya Moto si utaweka mengi?!

Funga Smoke alarms sio ghali ila zinasaidia.
 
Asante sana.
 
Fire ext ya kufanyia nini nyumba za wageni???....bora ungeuliza uweke kondomu box ngapi kwa kila chumba...
kama kitu hujui ni vyema ukakaa kimya

nyumba za wageni, ofisi, maghala vinatakiwa kuwa na vifaa vya kuzimia moto kisheria
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom