Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,984
- 113,848
Naam nimejifunza hilo pia, kama hailipi badilika.Kuna muda kukomaa na jambo moja haimaanishi utafanikiwa bali ni kupoteza muda
Naam nimejifunza hilo pia, kama hailipi badilika.Kuna muda kukomaa na jambo moja haimaanishi utafanikiwa bali ni kupoteza muda
Wewe ndio yule malaika, ahsante kwa kunikumbushamo jirani.😍😍 Half american umeona shuhuda hizi za novena?
Sasa wewe endelea kusema nitaanza kesho, keshokutwa.!! Unajichelewesha
Hilo umejifunza weweMtu akikugeuka na wewe unamgeuka
Haisaidii chochote.Tufunge na tusali
Unataka kuaribu uzi wa watu tuu...Haisaidii chochote.
Nimejifunza
1.maisha yanahitaji ukatili sanaaaaaaaa
2.Siasa na wanasiasa ni watu wa kuwachoma moto,wa vyama vyote
Mafanikio ndo kisasi cha kweli. Kama hautofanikiwa kwenye maisha, basi hata maadui, maex hata wanaokudharau watazidi kuonekana walikuwa sahihi.
Umetisha mkuuNaaam
Tunafanywa tupoteze muda wetu na pesa zetu kwenye mambo yasiyo muhimu sana kama mitandao ya jamii ili kutajirisha makampuni makubwa.
Mwisho wa siku watu wanakuwa watumiaji tu; social media addicts, walevi, wacheza kamari lakini maisha yao hayana muelekeo
Mimi ninakupenda ila Nina tabia ya kutokutunza siri
Naichukua hii kama ilivyo!Kuacha kusimulia shida zako Iko siku watu watazitumia kama fimbo kukuchapia.
Namsaidia halafu tunasumbuana kurudisha?Unamsaidia tu kiroho safi, kama una uwezo huo.
Nina mengi
Hilo nalo neno😂Hela unatoa lakini?
Wewe ni Mchaga?Hela unatoa lakini?
Hakunaga sure odds mzeeMtoto mzuri kwenye thread ya mikeka umepotea njoo basi utupe sure odd tule minyang'ula.
Sijawahi kukuzunguka dear
1) Privacy Is the key
2) Kama hakuna wanachonufaika kutoka kwako watajitenga na wewe
3) kwa kila sent unayopata ni muhimu kuweka kiasi saving
4) Afya ndo msingi wa maisha