Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 851
- 1,887
Habari.
Kabla haujaondoka katika ulimwengu huu jambo gani kubwa unatamani Mungu akujalie katika maisha yako ulikamilishe moyo wako utakuwa na amani.
1. Kuacha mazingira mazuri ya watoto wangu kusoma na kuishi.
2. Kusoma hadi Masters
3. Kuwa na hela kama million 100 bank na miradi