tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,672
- 19,187
Matumaini ya noah yangu yameshatoweka,ngoja nisubirie mgao wa almasi ninunue baiskeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
sio dramatic sema drama!Hakuna jipya hapo zaidi ya dramatic
Unaweza kudukua mawasiliano ukajitapa halafu ukafika kwenye usuluhishi wa kimataifa ukapigwa bonge la faini kwa kudukua mawasiliano kinyume cha sheria.Na mkataba mzima ukaonekana umeuvunja wewe kwa kitu kidogo tu cha kudukua mawasiliano.
Upo kwenye hayo mazungumzo?Mbona hawafiki hao 23 hapo?
Ujue wanatulia timing tu wao kuongeza watu si kwamba tunawashinda
Sisi tunawalazimisha wakubali kitu ambacho si sawa ndio maana wanaongeza wengine
Wasiwasi wangu ni serikali ya Tz kuruhusu hao watu kila kukicha kuongeza watu fulan hii si salama kwetu kwani hawa watu wasije wakatuzidi kwa ujanja wao wa kiuzoefu walionao miaka yote hayo.Watu wanaweza kusema kuwa tumewashinda ndo maana wanaongeza idadi ya wajumbe, lakini mimi naona otherwise... It shows jinsi wenzetu walivyojipanga, kwamba kila sekta au idara itakayogusiwa wanakuwa wamemuweka mtu ambae ni expert kwenye hilo eneo, so inakuwa rahisi wao kuzikabili hoja za aina yoyote zitakazoletwa mezani.
Anyways goodluck kwa wajumbe wetu, hopefully something good will come out of this.
Kilichokuchukiza nini?Daah post yako nimeichukia tu. Yaan unawafaham hawa wazungunkuliko watanzania unaowaona kwa visogo. Noncense
Sent using Jamii Forums mobile app