Mambo bado mazito majadiliano ya makinikia,Barrick yaongeza wajumbe kukabiliana na hoja za upande wa Tanzania

Tukifanikiwa to make it safe to the side of the river,Magufuli is going down in history as the greatest president to ever hold the office,ikitokea tumefeli Magu atakuwa rais mwenye uthubutu kuwahi kutokea Tanzania,Mungu ibariki Tanzania,Mungu mmbariki Magufuli ,Mungu mponye lissu,Mungu mjalie busara kabudi na timu yake,maendeleo hayana chama,amina
Uthubutu usiotumia akili na maarifa
 
Kama alivyosema mkuu, " timu yetu ile.ile". Wao waache warukeee lakini wakituwa wameganda kwenye urimbo!


N:B My account is not hacked, am being patriotic!

Sent from Bombardier 3/4 NEW.
 
Viongozi wa dini tupo...na kila siku tunamombea,ila tunamuhasa kutenda haki kwa watu wote,kwani kama maneno yake na matendo yake havilingani,basi hata maombi yatakuwa hayana maana mbele za Bwana Mungu!
1-timothy-2-1-2.jpg
 
Team Tanzania waendelea kupanga vizuri hoja zao watawashinda tu hao wezi weupe
 
Wameanza kujipiga picha nazani mambo yanaenda vizuri.
Safi sana JPM na washauri wako hakika hapa mmecheza kama pele.
Mungetaja tu wahusika mngesikia hadi majina ya michepuko yao.
Hongereni sana sana.
Mungu akisaidia inshallah nitaungana nanyi siku moja katiak uzalendo huu.
 
Hizi story za kuunga unga JPM alisema wamefika 25 hiyo picha wako kumi au hao wengine mmewaficha
Mkuu,ndiyo maana ya "Team"...Hata panapokuwa na team ya mpira na benchi la ufundi,sio wote wanaoingia uwanjani....Kuna "Technical Bench"
 
Back
Top Bottom