Mambo ambayo Watanzania bado yanatukwamisha kimaendeleo

mzeefursa

Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
9
Reaction score
4
Watanzania wengi wanapenda maendeleo.Lakin kupenda maendeleo sio kwamba ndo utaendelea.
Maendeleo nchi yoyote yanahitaji kujitoa, uvumilivu, malengo na juhudi binafsi ili uweze kupata mafanikio.
Sababu zinazofanya tuchelewe kupata maendeleo.

  1. Hatufanyi kazi kwa bidii na malengo- Hi sio kwamba kila mtu hafanyi kazi kwa malengo.Bali wengi wao wako hivo.Tunapenda kufanya kazi kidogo halafu tukitegemea kupata fedha nyingi.
  2. Wengi wao ni waoga-Uoga hapa namaanisha ni hatupendi kujaribu fursa tofauti tofauti katika kujikwamua kiuchumi.Tunapenda kufanya kazi kwa mazoea na katika usalama wa kuogopa kufilisika.(We like comfort zone)
Tembelea hapa kusoma sababu nyingine kwa hii tovuti>>>>http://bit.ly/2any6aK...
>>>>http://bit.ly/2any6aK...
>>>>http://bit.ly/2any6aK...

Namna ya kufikiri kama matajiri wanavyofikiri soma hapa>>>http://bit.ly/2bJaa3T
>>>http://bit.ly/2bJaa3T
>>>http://bit.ly/2bJaa3T

Ahsante
 
!
!
Jamaa acha kukariri....hizi sio zama za kufanya kazi kwa bidii, ni zama za kufanya kazi kwa AKILI. Kazi ndogo ilete manufaa makubwa. Hii ya kazi kwa bidii ni too mascular .Kazi kwa bidii ni huko analojia huko miaka ya 2000 huko huku juu ni digital, kazi kwa Akili. Hii era nyingine
 
Sababu ya kwanza ya sisi kutokuendelea ni ufahamu uliopo vichwani mwetu. Mfumo wetu wa elimu na elimu yenyewe inayofundishwa vinashindwa kuzaa jamii ya watu waliostaarabika.
Bila kustaarabika huwezi kuendelea; hivyo basi, ELIMU YA KIWANGO CHA JUU + USTAARABU = MAENDELEO.
Tunakimbilia mno maendeleo wakati tumeacha nyuma ustaarabu na elimu bora; hata serikali zetu hazionekani kufahamu hili.
Hakuna popote duniani taifa lililoendelea kwa kuweka kando elimu na ustaarabu.
 
Umezungumza jambo la msingi sana. Watanzania tunakosa Ustaarabu wa kujitamini sisi wenyewe hivyo kufanya wasomi wetu wasiwe na mchango katika maendelo ya taifa hili.
Hatujathubutu kusimama sisi wenyewe tunaona wekezaji ndio suluhisho la matatizo yetu hata kwenye sekta za uchumi ambazo zipo ndani ya uwezo wetu.
 
Back
Top Bottom