Mambo 5 ambayo Watanzania waliokuwa 'gwandalized' wanayakataa kuhusu CCM na serikali yake

kauli yako ni kilele cha kujipinga.. Unamuona mtu anatumbukia shimoni halafu unasema 'inawezekana kweli anatumbukia shimoni lakini nina imani hatotumbukia'..
Watu ambao hawajasettle in their minds, THY ARE CAUSE OF critical problems in this country. Infact hawa ndio wanaoirudisha CCM madarakani hata kama haina cha kufanya.

Nakumbuka enzi zile babu yangu mmoja alikuwa akichaguliwa kuwa mweneyekti wa tawi ccm sio kwasababu alifanya chochote ila tu ni kwasababu alijua kuongea na watu HATA KAMA HAKUFANYA MAENDELEO YOYOTE MIAKA 5 ILIYOPITA.

Baadhi ya watu bado wanafikiri kwa stahili hiyo wakati ambao nchi hii inahitaji watu na viongozi wenye mtizamo mpya unaojengwa mabadiliko ya kasi kukabiliana siyo na ujanja wa watu wengine duniani wanaoinyemelea nchi yetu kwa macho ya ujanja wa kahaba la kimataifa LAKINI MBADILIKO YA MAUMBILE NA TABIA YA NCHI.
 
Back
Top Bottom