Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,441
- 5,744
Mwanaume ajue kujiongeza ajue kujitoa, akuheshim, akupende, akuthamini, akujali, akupe muda wake (itaingia hukohuko kwenye kujali)ajue kuvumilia awe na upeo mkubwa wa kufikiri nadhani huyu kwangu ana kila sababu ya kumpenda
Date na malaikaMwanaume ajue kujiongeza ajue kujitoa, akuheshim, akupende, akuthamini, akujali, akupe muda wake (itaingia hukohuko kwenye kujali)ajue kuvumilia awe na upeo mkubwa wa kufikiri nadhani huyu kwangu ana kila sababu ya kumpenda
Good men and good women are still exists
Walikuwa wa zamani,wa sasa wanakwambia kipaumbele cha kwanza pesa,cha pili pesa,cha tatu pesa,mapenzi wanasema mpekelekee......Habari Wana wa JF.Natumai muko sawa,
Leo nashukuru Mungu kuchukua fursa hii kwa mara nyengine tena kuwaelezea kile ninachokifahamu katika maisha.Nimekuja na mambo manne ukiwa nayo mwanamke atakupenda na utamfanya mkeo awe na furaha.
1.KUWA NA HESHIMA.
Heshima inasababisha mwanamke kukupenda kwasababu utapokuwa na heshima una-epukana na dhararu na wanawake karibuni wote hawapendi kudharauliwa.Heshima ni miongoni mwa kumsikiliza mtu,kutoongea nae kwa maneno machafu,kutompiga pasi na sababu,kutofanya vitu ambavyo yeye havipendi,kuonesha unajali kwake n.k.
2.KUDHIHIRISHA UPENDO
Unapoishi onesha kwamba una upendo na kila mtu,kwasababu mwanamke anahitaji amani na maelewano.Unapokuwa na sura pamoja na moyo wa upendo kila mtu anavutika nawe na anakupenda sio mwanamke tu peke yake, na wala watu hawatokuchoka.
3.KUWA MWEREVU
Hutakiwi kuwa mjinga mbele ya jamii.Unatakiwa kuishi ki-professional.Kwa sababu mwanamke anajivunia sana anapokuwa na mwanamume mwenye busara,anahisi ni wato-fauti.Jaribu kuwa mkimya usiwe unaongea ovyo,kuwa mtaratibu na usiwe unakimbilia kutoa hukumu kabla ya kufikiri.
Fikiria kwanza,Ongea maneno madhubuti. Mimi binafsi, kwenye miaka kama 5 iliyopita kuna mtu alikuwa anapenda sana kuniambia maneno haya "I like the way you are".
4.KUWA NA UVUMILIVU
Wanawake ni watu wenye vituko sana.Na muda mwengine huwa ni kama tabia kwao wanapokuwa wanaumwa ama wana stress zao tu ki-kawaida.Sasa unatakiwa ufahamu kwamba wewe ni mwanamume unatakiwa kuvumilia na hivyo vituko na maudhi yote hayo.Unatakiwa kuwa mkimya na uweze kudhibiti hasira zako.Mwachie mtu mpaka ajitambue mwenyewe kama ana makosa.
Kujifunza tabia hizi utakuwa umeuteka moyo wa mwanamke
Hah hah,ukinyanganywa na Mwenye pesa ndio utajua pesa shikamoo ,mamsapu mwenyewe akijua una pesa unapelekewa Maji ya moto na anavaa kanga badala ya jinsi usiku[emoji23]Vyote hivyo Bila kuwa Na pesa ni ubatili mtupu
IndeedGood men and good women are still exists
Vipi kuhusu mtonyo mkuuMwanaume ajue kujiongeza ajue kujitoa, akuheshim, akupende, akuthamini, akujali, akupe muda wake (itaingia hukohuko kwenye kujali)ajue kuvumilia awe na upeo mkubwa wa kufikiri nadhani huyu kwangu ana kila sababu ya kumpenda
Umenena vyema......Mapenzi ni kama tango unatia tu chumviNahangaika kutafuta pesa maana ndio kila kitu, nitachukua mwanamke yoyote nimtamaie kupitia chambo pesa, fweza ndio mpango mzima haya mengine ni kujichosha tu akili na mwili, kuwa na mwanamke huku unamnyenyekea kama vile ndiye Mungu muumba wa mbingu na nchi ilihali yeye akikutana na mwenye pesa haangalii kuwa kwako na heshima, kudhihirisha upendo, kuwa mwerevu au sijui uvumilivu. Hichi unachokizungumza hakipatikani tena ulimwengu huu hasa maeneo ya mjini.
Bila PESA hayo hayasaidii sanaHabari Wana wa JF.Natumai muko sawa,
Leo nashukuru Mungu kuchukua fursa hii kwa mara nyengine tena kuwaelezea kile ninachokifahamu katika maisha.Nimekuja na mambo manne ukiwa nayo mwanamke atakupenda na utamfanya mkeo awe na furaha.
1.KUWA NA HESHIMA.
Heshima inasababisha mwanamke kukupenda kwasababu utapokuwa na heshima una-epukana na dhararu na wanawake karibuni wote hawapendi kudharauliwa.Heshima ni miongoni mwa kumsikiliza mtu,kutoongea nae kwa maneno machafu,kutompiga pasi na sababu,kutofanya vitu ambavyo yeye havipendi,kuonesha unajali kwake n.k.
2.KUDHIHIRISHA UPENDO
Unapoishi onesha kwamba una upendo na kila mtu,kwasababu mwanamke anahitaji amani na maelewano.Unapokuwa na sura pamoja na moyo wa upendo kila mtu anavutika nawe na anakupenda sio mwanamke tu peke yake, na wala watu hawatokuchoka.
3.KUWA MWEREVU
Hutakiwi kuwa mjinga mbele ya jamii.Unatakiwa kuishi ki-professional.Kwa sababu mwanamke anajivunia sana anapokuwa na mwanamume mwenye busara,anahisi ni wato-fauti.Jaribu kuwa mkimya usiwe unaongea ovyo,kuwa mtaratibu na usiwe unakimbilia kutoa hukumu kabla ya kufikiri.
Fikiria kwanza,Ongea maneno madhubuti. Mimi binafsi, kwenye miaka kama 5 iliyopita kuna mtu alikuwa anapenda sana kuniambia maneno haya "I like the way you are".
4.KUWA NA UVUMILIVU
Wanawake ni watu wenye vituko sana.Na muda mwengine huwa ni kama tabia kwao wanapokuwa wanaumwa ama wana stress zao tu ki-kawaida.Sasa unatakiwa ufahamu kwamba wewe ni mwanamume unatakiwa kuvumilia na hivyo vituko na maudhi yote hayo.Unatakiwa kuwa mkimya na uweze kudhibiti hasira zako.Mwachie mtu mpaka ajitambue mwenyewe kama ana makosa.
Kujifunza tabia hizi utakuwa umeuteka moyo wa mwanamke
Sawa uandikayo Ila hujawahi sikia au kuona mwenye hizo unazoziita chapaa kaachwa na mwanamke....!!!!!????Unazungumzia wanawake wa sayari ipi mkuu? Wanawake ni viumbe wasiotabirika.
Unaweza kuwa na sifa zote hizo ila akakuacha sabb huna chapa.
Ninachowakubali kwenye hili hata wakija 20 wote wenye sifa tajwa hapo juu watapendwa wote kama walivyo bila kupunguza idadi, na siku zinajongea na dunia kuzunguka.Mwanaume ajue kujiongeza ajue kujitoa, akuheshim, akupende, akuthamini, akujali, akupe muda wake (itaingia hukohuko kwenye kujali)ajue kuvumilia awe na upeo mkubwa wa kufikiri nadhani huyu kwangu ana kila sababu ya kumpenda
Hahahha ninamoyo mmoja tu siwez kuwapenda woteNinachowakubali kwenye hili hata wakija 20 wote wenye sifa tajwa hapo juu watapendwa wote kama walivyo bila kupunguza idadi, na siku zinajongea na dunia kuzunguka.
Mtonyo akiwa nao ni wake me nataka akili yake tufanye maisha muhim ajiongeze na hizo sifa nilizosema hapoVipi kuhusu mtonyo mkuu
Sio mambo manne ni herufi nne PESAHabari Wana wa JF.Natumai muko sawa,
Leo nashukuru Mungu kuchukua fursa hii kwa mara nyengine tena kuwaelezea kile ninachokifahamu katika maisha.Nimekuja na mambo manne ukiwa nayo mwanamke atakupenda na utamfanya mkeo awe na furaha.
1.KUWA NA HESHIMA.
Heshima inasababisha mwanamke kukupenda kwasababu utapokuwa na heshima una-epukana na dhararu na wanawake karibuni wote hawapendi kudharauliwa.Heshima ni miongoni mwa kumsikiliza mtu,kutoongea nae kwa maneno machafu,kutompiga pasi na sababu,kutofanya vitu ambavyo yeye havipendi,kuonesha unajali kwake n.k.
2.KUDHIHIRISHA UPENDO
Unapoishi onesha kwamba una upendo na kila mtu,kwasababu mwanamke anahitaji amani na maelewano.Unapokuwa na sura pamoja na moyo wa upendo kila mtu anavutika nawe na anakupenda sio mwanamke tu peke yake, na wala watu hawatokuchoka.
3.KUWA MWEREVU
Hutakiwi kuwa mjinga mbele ya jamii.Unatakiwa kuishi ki-professional.Kwa sababu mwanamke anajivunia sana anapokuwa na mwanamume mwenye busara,anahisi ni wato-fauti.Jaribu kuwa mkimya usiwe unaongea ovyo,kuwa mtaratibu na usiwe unakimbilia kutoa hukumu kabla ya kufikiri.
Fikiria kwanza,Ongea maneno madhubuti. Mimi binafsi, kwenye miaka kama 5 iliyopita kuna mtu alikuwa anapenda sana kuniambia maneno haya "I like the way you are".
4.KUWA NA UVUMILIVU
Wanawake ni watu wenye vituko sana.Na muda mwengine huwa ni kama tabia kwao wanapokuwa wanaumwa ama wana stress zao tu ki-kawaida.Sasa unatakiwa ufahamu kwamba wewe ni mwanamume unatakiwa kuvumilia na hivyo vituko na maudhi yote hayo.Unatakiwa kuwa mkimya na uweze kudhibiti hasira zako.Mwachie mtu mpaka ajitambue mwenyewe kama ana makosa.
Kujifunza tabia hizi utakuwa umeuteka moyo wa mwanamke
yote hayo nimeyafanya nikagundua nimekosa herufi nne tuu ambazo kila mwanamke anazipenda PESAMwanaume ajue kujiongeza ajue kujitoa, akuheshim, akupende, akuthamini, akujali, akupe muda wake (itaingia hukohuko kwenye kujali)ajue kuvumilia awe na upeo mkubwa wa kufikiri nadhani huyu kwangu ana kila sababu ya kumpenda
Huwez mfanya mtu akupende....True love inakujaga bila sababuSiwezi kubadilisha maamuzi yako, kaka.
Ila mimi nahisi,ukiwa unajua kama kuna mtu anakupenda kwa dhati.Basi unahisi tofauti na utakuwa na furaha isiyo-isha.