Mambo 30 ya kushangaza kuhusu Bara letu la Afrika

Mambo 30 ya kushangaza kuhusu Bara letu la Afrika

Ndio bara pekee ambalo watu wake wengi wamejikita zaidi kwenye mabishano ya kisiasa au kushindana kusifia au kuponda wanasiasa kuliko kufanya kazi,

Bara pekee ambalo watu wake wengi kila siku wanakua na jambo la kubishania au kushindania kutwa nzima huku wakilalamika maisha ni magumu!

Bara pekee ambalo kila mtu ni mtaalamu wa kila kitu ili mradi tu awe na bando na access ya mitamdao ya Kijamii.
 
Back
Top Bottom