Mambo 12 yenye majina mengi ya mtaani

Mambo 12 yenye majina mengi ya mtaani

askari - njagu, ndata, manyota

kiungo cha kike - nyapu, kitobo, k.... ma (hili ndo jina lake hasa), utupu (hata kwa me), ze utamu, mbunye, iveco, etc ni mengi kwa kweli

pombe - ulabu, mitungi

style za kufanyana - mbuzi kagoma kwenda

mwanamke - chick, mamaa
 
Tigo>mfereji wa majitaka>matopeni>mlango wa nyuma> kamerun> uani> 0713> Marinda> Express uaself n.k
 
Mtu anakuambia unatisha we unamjibu "sweety i love you so much" hii nayo kali badala ya kuhoji kwa nini unatisha.

Kumbe wewe unatisha nilikuwa sijui aisee! we ni wakuweka mbali na watoto maana kitu kinachotisha sio cha kuwa nacho karibu...!

ngoja akujibu maana yake hakusema kama unavyofikiria

na pia mimi sio doli/katuni ndo uniweke na watoto natake radhi pls

Cc Mokoyo
 
Last edited by a moderator:
kwenye kiungo cha mwanamke na mwanaume kuna maneno makuu kabisa yanayoelezea hizo vitu viwili hivyo umeviacha kuviandika sasa sijui ni kwa makusudi au kwa bahat mbaya ama hujui?
 
Mtu anakuambia unatisha we unamjibu "sweety i love you so much" hii nayo kali badala ya kuhoji kwa nini unatisha.

Kumbe wewe unatisha nilikuwa sijui aisee! we ni wakuweka mbali na watoto maana kitu kinachotisha sio cha kuwa nacho karibu...!
Wewe Phlagiey wacha kuingilia mambo usiyoyajua, mimi Mokoyo na ICHANA ndio tunajua tutumie maneno gani kwenye maisha yetu.

Kaa mbali na familia yetu

kwa ufafanuzi
ANATISHA = yuko vizuri n.k
 
Last edited by a moderator:
ngoja akujibu maana yake hakusema kama unavyofikiria

na pia mimi sio doli/katuni ndo uniweke na watoto natake radhi pls

Cc Mokoyo
Sweetie ICHANA nishamjibu huyu jirani anayetaka kutuletea longolongo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom