Phlagiey
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,500
- 1,688
Sasa na wewe kama sio kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa kweli maana ya anatisha ni= yuko vizuri?
Mbona uko vizuri ni neno linalojitosheleza kabisa hata halina maana kama unavyosema?.
Ebu nyoosha maelezo.!