Mambo 12 yenye majina mengi ya mtaani

Mambo 12 yenye majina mengi ya mtaani

Wewe ni noma, yaani weee acha tu,
Mimi kwa upande wangu naona Pesa, pombe, bangi, mwanamke na skari wana mahusiano yanayozunguka (Vicious Cycle)
Mwanaume akipata pesa atataka kinywaji, halafu mwanamke...mwingine atataka kuongezea na bangi hapo askari lazima achomozee, ili watu wasishtukiwe wanaita majina ya mtaani, na majina hayo yakishajulikana wanabuni mengine nadhani ndiyo sababu kuna kuwa na majina mengi hivyo,..But all in all Mleta mada unatisha,


Mengi ya haya majina yanaendan kama ulivyanda kama ulivyosema pia eneo kama chali Yang ya A town lazima manzi, chapaa watamke kila uchao
 
3. Pia kufanyana, kumegana ,mchezo wa matusi, kulalana , kujamiana, kufanya mapenzi, mchezo wa kitandani , mchezo wa baba na mama, mchezo wa kutengeneza mtoto.
 
3. Pia kufanyana, kumegana
,mchezo wa matusi, kulalana , kujamiana, kufanya mapenzi, mchezo wa
kitandani , mchezo wa baba na mama, mchezo wa kutengeneza mtoto.

......pia Kunyemba, Kudinya,Kusafisha rungu..
 
Wanajamvi natumain muu wazima
Uzoefu unaonyesha kuna vitu 12 venye majina mengi sana ya mtaani ambavyo ni

1.mwanamke- manzi, shery, demu, totoz, uzingizi wangu, baby, mchuchu...nk

2. Bangi- ganja, msokoto, rizim, dope, jani ...n.k

3. Tendo la ndoa - kugegeda, kutiana, kazana, lambani, nyangana, nk

4 pesa - money, dollar, mapeni, chenji, sabuni ya roho, vumba, helari, ngawira

5, kiungo cha mwanamke- uchi, nyapu, kipochi cha manyoya,ze utamu, kitumbua bila kusahau papuchi

6. Kiungo cha mwanaume - ukuni, ufito, mjeleji, rungu, mguu wa mtoto, kibamia, msumari na chuma

7.style za kufanyana.sekeseke, tangaline,kifo cha mende, kivoloa , kifo cha mende.kata mtama nk

8.pombe - laga, kinywaji, main,kilauri,nk

9.mke/ mume asiyo halali- nyumba ndogo, kibanda, mchepuko, mpango wa kando

10.kutongoza- kuimbisha, kusomesha, kupigisha sound, kushusha mistari, kubonga.

11.askari- Mkuda, noma, afande, mnoko, tigo

12. Chakula- msosi, menu, dishi,mapochopocho,maakuli, mahanjumati, mnuso nk

Wana MMU tusaidiane majina mengine zaid kwa wale wenye kujua

Mkuu,

Naomba niongeze matatu.

Hapo kwenye namba 4 yaani pesa pia siku hizi yaitwa Mpunga.

Halafu kuna neno la Sembe yaani madawa ya kulevya.

Pia namba 9 nafikiri ungeweka maana ya kutoka nje ya ndoa kwa maana ya "One night stand" huko mitaani ndio wanasema mchepuko, maana hata zamani watu walikuwa wakiwa na vimada nje.

Mimi pia nimeyasikia sana maneno haya juzijuzi nilipokuwa nyumbani hasa Daesaama nilipokuwa katika miendo yangu ya miundi.
 
nk-king'asti, sugar mama, big mama,
rafiki - shosti, wangu, best, pacha, twin,
mchepuko - mfazili, sponsor, atm, big papa, sugar daddy, anayeniweka mjini,
 
pesa- ngsape, shekeli, sabuni ya roho..,bange-dude la kimataifa,majani,mmea,kitu cha atown.....style za kufanyana-katerero,mbuzi kagoma twende,chuma mboga
 
daaah ICHANA umeniacha hapa ha ha "5, kiungo cha mwanamke- uchi, nyapu, kipochi cha manyoya,ze utamu, kitumbua bila kusahau papuchi"
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom